Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota vishungi 36,je alivuta sigara ngapi kutokana na idadi ya vishungi 36 alivyokuwa navyo.
Alivuta sigara zote alizozitengeneza,tunatakiwa tujuwe zilikuwa ngapi,acheni ku-dodge swali wakuu!kama unaamini anaweza kuunga sigara kutokana na vishungi, basi vishungi 36 vitatoa sigara sita.
Ila hujazungumzia suala la kuvuta sigara. Hivyo haijulikani atavuta sigara ngapi, labda 0 au 1 n.k.
Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota vishungi 36,je alivuta sigara ngapi kutokana na idadi ya vishungi 36 alivyokuwa navyo.
Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota vishungi 36,je alivuta sigara ngapi kutokana na idadi ya vishungi 36 alivyokuwa navyo.
Mbona mnachakachua swali wakuu,nimefafanua kwamba alivuta zote alizoweza kuziunda kutokana na mtaji wake wa vishungi 36.swali linatuhitaji tujue idadi ya hizo sigara zote alizovuta!