johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,048
- 142,160
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera amesema baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Spika Tulia kwamba kuna nafasi moja ya Ubunge iko wazi NEC imefanya Uteuzi kujaza nafasi hiyo.
Nafasi hiyo iko wazi baada ya mbunge mmoja wa viti maalumu kufariki na NEC imemteua Bi Abbas kuijaza
Chanzo: TBC
Nafasi hiyo iko wazi baada ya mbunge mmoja wa viti maalumu kufariki na NEC imemteua Bi Abbas kuijaza
Chanzo: TBC