Mahari ya Single Mom

ongeza sauti wakusikie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo sio rahisi kama mnavyoyajadili. Kwanza mara nyingi mtu akianzisha mahusiano na single mother huwa inakuja kama ajali tu. Yaani mwanamke na mwanaume wataishi pamoja kibahati mbaya.

Sasa ukianza kuweka taratibu za kimila utajikuta huyu dada anatakiwa yeye kujilipia mahari ili aolewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaowasha moto sana ujue wanajua uchungu ikitokea kampa mtu mimba basi anakomaa nae ndo mana haamin kuoa single maza hata kidgo mim mwenyew single maza hata akiniroga asee akili ikirudi nasepa na nilishatoa angalizo mkiona natangaza ndoa na single maza naomba mnipelke kanisan mapena sanaa zitakua so akili zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personally,siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto nitaonekana zoba..

Wanawake wanaopata mimba kiwepesiwepesi hawa ndo tusemezane nao...Njia za kujikinga zipo kibao why uzae bila ya kuwa kwenye ndoa serious??.

Wanaochana/Kufiwa na waume zao hiyo ni case nyingine..

Tusiwazodoe sana,ila pia tusilifanye hili kuwa ni jambo jepesi..Kuoa mke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine inahitaji moyo

Wanaume pia tubebe misalaba yetu..ukimpa binti wa watu mimba muoe usijekuwapa watu wengine mizigo isiyowahusu
 
Hapo mwisho umemalizia vizuri sana
 
Hii ya kumtambulisha nyumbani mwanamke aliyezalia nyumbani huwezi kueleweka sana sana watahisi kuwa kijana wao umerogwa na huyo na mwanamke maana kwa akili zako huwezi fanya huo upuuzi.
Tatizo sio kuwaza mbali wewe mwenyewe unajua vitu kwa ground jinsi vilivyo huwezi mpeleka mchumba nyumbani ambae ni single mom wakuelewe kirahisi labda uongozane na malaika toka mbinguni hawashawishi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikakwambia mahali ni utamaduni. Kuna wengine hawatoi mahali na wanachukua bikra kwa vile utamaduni wao mtoto wa kike kuolewa ni baraka.

Kwahio kama utamaduni wako huko hivyo sawa lakini usijumlishe na wengine.

Mwanamke hana bei, hizo zingine mbwembwe tu.
 
Pamoja na kuwa na point kuhusu mahusiano ila suala la kusema mahari ya binti wa miaka 18-22 asiye na mtoto uyafananishe na wa 30 mwenye mtoto!. Hapana.
Mwanamke hana bei, hizo zingine mbwembwe tu.

Mbona kuna wengine wanaoa bikra zaidi ya mmoja?
 
Kwa hiyo wewe umeoa bombonya?
 
Maneno makali sana

Typed Using KIDOLE
 
Huyo sijamjua kwa kweli kiongozi. Ninayemfahamu yupo Bariadi. Hili jina la Rutagwerera ni la ukoo. Wapo wengine siwajui. Mwingine alikua na wale jamaa wa GGM ila aliacha kitambo.
Inabidi uwatafute aisee nayemzungumzia ni kiongozi wangu ana wadhifa mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…