Yani mnashindwa kuelewa kitu kimoja,kulelewa na single mother haimaanishi huyo mtoto aanze kuwatetea single mother hapana!Mi nashangaa sana watu kuwaona single maza kama ukimwi vile,
ilhali hata wao walilelewa na mama zao tu
chukulia ungekuwa na dada yako mwenye sifa kama hizo (alibeba mimba kwa kubakwa au akiwa shule) leo akiitwa majina 'mazuri' hayo uliyomchagulia ungejisiliaje?Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.
Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo even yeye mwenyewe atakuona boksi
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu tunakosea kuwahukumu kwasababu siyo dhambi pekee zipo nyingi sana tunafanya ikiwemo sisi wanaume kuwatia mimba na kuwatelekezaHukumu lazima waipate kuanzia hapahapa duniani.
Una habari sasa hivi meza imepinduliwa kutokana na makampeni yenu ya fataki sijui vipepeo vinajimanua tu maana speed ya utongozaji imekuwa chini sana?
I bet it's only you!Mi nashangaa sana watu kuwaona single maza kama ukimwi vile,
😴 ilhali hata wao walilelewa na mama zao tu😴😴😴
Usiseme Ujinga mkuu! kuwa single mother sio kosa,ila mimi nawaona wapumbavu wale wanaoenda kuoa single mother aisee!Ujinga tu wa vijana ambao balehe zinawasumbua
Hahaha... Ninaona mnawasema wee... Mkila, mkanywa, mkapumzika kidogo; mnarudi tena kuwasema.Mkuu maisha yanaendelea ujue. Life doesn't stop
Kwa hiyo wewe unaweza kuoa mwanamke aliyezalishwa kwa mahari sawa na ambaye hajazaa?Mkuu tunakosea kuwahukumu kwasababu siyo dhambi pekee zipo nyingi sana tunafanya ikiwemo sisi wanaume kuwatia mimba na kuwatelekeza
Hatakama vijana balehe zinawasumbua Ila ndio ukweli
Single mother ni wounded buffalo
Wanahatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini abebe mimba kwa kubakwa tu,na sio kumvulia chupi mwanaume kwa utashi wake?chukulia ungekuwa na dada yako mwenye sifa kama hizo (alibeba mimba kwa kubakwa au akiwa shule) leo akiitwa majina 'mazuri' hayo uliyomchagulia ungejisiliaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
........................Kipi kitakachotutofautisha kati ya wewe uliyeowa single mama kwa mahari 150K na mimi nisiyeweza hata kukaa kujadili mahari ya single mama zaidi ya kila mmoja wetu kumuona mwenzake hana akili?in reality wewe ndo akili huna zaidi unajifariji tu!Kichwa yako haina kitu.Yaani ni vacuum.
Very lucky pole mzee hope so mtakutana tena hukoHata milion 5 unatoa kutokana na ulivyompenda.
Mi kuna single mom, alinipenda katika uhai wangu hakuna aliyenipenda sana Kama yeye japo wapo waliokuja badala yake.
Na imani nikifa , tutaonana Tena.
Rest in peace mainah.
Hata milion 5 unatoa kutokana na ulivyompenda.
Mi kuna single mom, alinipenda katika uhai wangu hakuna aliyenipenda sana Kama yeye japo wapo waliokuja badala yake.
Na imani nikifa , tutaonana Tena.
Rest in peace mainah😥😥😥.
[/QPole sana mkuu.
Hiyo ni special category kazi ya mungu haiwekewi doubtsVip binti kaolewa ndani ya two years mume kafariki kaacha mtoto huyo hafai?
Vip Kwa binti ambae hana mtoto kuolewa na kijana mwenye mtoto?
Mkuu Embu ongea na baba yako au mama vizuri akupe historia yenu. Usikute kuna bibi yako alikuwa engine mbovu/kopo ndo alipelekea baba/mama yako akawepo ndo ukafuata wewe maana kama kaburini wanasikia atajuta kwann aliliea mimba ya babu au bibi yako.Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.
Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo even yeye mwenyewe atakuona boksi
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Msamehee bure haju nini alichokisema mkuuMkuu Embu ongea na baba yako au mama vizuri akupe historia yenu. Usikute kuna bibi yako alikuwa engine mbovu/kopo ndo alipelekea baba/mama yako akawepo ndo ukafuata wewe maana kama kaburini wanasikia atajuta kwann aliliea mimba ya babu au bibi yako.
Mimi sishangai dogo wewe si msukuma. Ndiyo mila yenu. Very primitive!