Mahari ya Single Mom

You're absolutely right! Na kuna uzi ulianzishwa humu na Jokajeusi anasema solution ni kuoa Bikra tu.
 
Mimi sishangai dogo wewe si msukuma. Ndiyo mila yenu. Very primitive!
 
Sir_Mimi, Wakunipanikisha uwe ww nisiekujua punguza stor za hali ya chini

Nawezaje poteza energy kwa unfortunetly google has stopped
 
Mara nyingi watu wanasahau kwamba mapenzi ni ya watu wawili. Thamani ya mke au mume haitambuliwi na wazazi, ndugu wala marafiki bali wale waliokuwepo kwenye uhusiano.
Wewe unatokea kanda gani hapa Tanzania?
Mimi natokea Kanda ya ziwa mwanamke ana play role kubwa sana kwa wazazi wa mtoto wa kiume yani huwezi kuoa bambasi wakakuelewa.

Mama yangu mimi pamoja na uzee wake huwa anatusihi sana sisi ambao hatujaowa kutafuta mwanamke Bikra mabambasi tupitie tu, yeye aliolewa na usichana wake and this is why I'm very proud of her also my older sister she was married virgin sisi ni wasukuma mixer usomali wa kisingida.

Kwahio kiwango cha mahali ya single mum, haina tofauti na mwanamke yoyote yule kwani vigezo vya mahali viko vingi na kuwa na mtoto sio moja wapo. Huyo binadamu sio gari. Mahali ni utamaduni tu.
What? Yani mahari ya mwanamke Bikra au asiye na mtoto hata kama ka-abort mara elfu 50 iwe sawa na aliyeenda leba?
 
Kumbe uko wenu hauna tofauti na wangu aise sisi kwenye uko wetu au familia yetu ukioa janamke lililozalia nyumbani watakwambia unaletaa laana na mikosi katika ukoo maana hicho hakijawahi kutokea katika ukoo wetu wala katika familia yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are we ndugu bro?πŸ˜‚
Also my Mam was married virgin
 
Kwanza kwa kanda ya ziwa kijana kuoa asiye bikra unajiuliza mara mbili mbili uoe au usioe sembuse kuoa bambasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kwa kanda ya ziwa kijana kuoa asiye bikra unajiuliza mara mbili mbili uoe au usioe sembuse kuoa bambasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rutagwerera Sr huyu ni mhaya kule mimi nimefanya kazi 2012 watoto wale hawana maadili kabisa yani binti wa miaka 12 mpaka nimlazimishe anipe shikamoo kuuumbe ameshaijua dudu nikaanzaga kujiona kumbe mimi fala eee maana wanaowatumia ni watu wa rika langu just imagine it was 2012

Hii 2020 nini kinaendelea?😨
 
Mapenzi hayachagui,mwanamke kuwa single mom kuna sababu nyingi sana,tusiwahukumu sana na kuwaona dhambi yao nikubwa kiasi hiki...........tuache hii tabia maana chanzo ni sisi wanaume,mtoto wa watu anakuamini anakuvulia nguo kumbe wewe unataka tu kupunguza shida zako wakati mwenzio yupo serious.Tuwaache kwakweli maana chanzo ni male.......
 
Uko sahihi kabisa lakinii tutarudi palepale katokea kwenye familia ya namna gani?

Sisi mama yetu hakupatikana kizinzi zinzi ndio maana hata dada zangu wote (watatu) wameolewa wakiwa na usichana wao sasa embu jiweke wewe kwenye nafasi ya mama yetu and feel how proud she is kuozesha watoto wote watatu wakiwa na usichana wao
 
Kwa hiyo wewe Dingi uliowa bambasi?
Usukumani tunakuroga ufe ututolee hiko kisanga
Umenichekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anyway, si dhambi kutofautiana mitazamo.
Ila tuache kuwasema hawa single mothers si vema.

Nakupa mfano wangu, mimi nilimtia mimba binti wa watu na kusema ukweli ni mimi kisababishi - hakua tayari. Wanaume tuna nguvu kubwa ya ulaghai na ushawishi.
 
Ungeoa huyohuyo unategemea nani aoe Bomboya hilo?
 
Kuoa single mom ni upuuzi mtupu tena kama kuna mtu yupo humu kaoa single mom ni mpuuzi wa dunia ya mwisho

Unawezaje kuoa chuma chakavu kijana ambaye unakuta hata mtoto huna unabaki kubebe jitoto la mwanaume mwenzio na kumuita eti mwanangu

Ni upuuzi wa kiwango cha juu sana ambao haujawahi tokea toka dunia iumbwe yaani unaoa single mom na unamtambulisha kwenu kabisa

Nasema tena ni upuuzi mkubwa sana kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwenzio yani unachukua mwanamke mwenye ushahidi kabisa kuwa alifanya uzinzi hadi akapachikwa mimba

Yaani mimi kama mzazi mwanangu wa kiume alete mwanamke aliyezaa aseme huyo ndiyo mchumba wallah nampiga shaba bila ubishi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…