Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,421
- 8,361
Mtumishi wewe ungenitolea mi sh ngapi lol. Anyway 5m ni kubwa kama jamaa hana uwezo. Kwa wengine hiyo anaimudu. Mimi binafsi sipendi kunyanyasika, mahari ya hivyo sitaki5 million kwa mahari tu??
Na hizo haki sawa wanawake wanazolilia hawazipati miaka 1000!!!