HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Jamani,
Jana nilialikwa kwenye sherehe ya kupokea mahari.
Nikiwa kama mjomba wa anayetarajiwa kuolewa, bwana harusi alisema atatuma mahari kwa njia ambayo ilimuwezesha kukutana na binti yetu.
Alisema walikutana kwenye facebook, hivyo mahari atatuma kwa M pesa na harusi watafuna online.
Bwana harusi yuko Mwanza ambako anafanya biashara zake huko.
Baada ya baba wa binti kupata mashaka, bwana harusi akatuma shilingi milioni tano akitumia laini ofauti tofauti, baba akaingiwa na imani, na anaona ni jambo jema kufanya harusi ya kihistoria.
Hivi ndoa kama hii (iwapo itafungwa onine) je itatambuliwa kisheria?
Nimebaki na maswali mengi ambayo baada ya kujazwa mapesa, baba wa binti kaacha kujiuliza, na anasubiri kwa hamu mwanawe aolewe
na ku do wata DO online!!!!!

By courtesy of Skype.
By courtesy of Skype.
Huko kuolewa bure sio kuolewa, huko ni kujimuvusishaKwa comment yako inaonyesha una mkwanja kweli. Yaani unadharau mil5, ungalijua kuwa wenzio wanaolewa kwa laki 2 na wengine bure usingali sema haya. Kila la heli mkuu na kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
Kwa comment yako inaonyesha una mkwanja kweli. Yaani unadharau mil5, ungalijua kuwa wenzio wanaolewa kwa laki 2 na wengine bure usingali sema haya. Kila la heli mkuu na kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
mi mwenyewe nashangaaUtani huo jamani ni ndoa gani hii tena?