Maharagwe mekundu yanauzwa

Maharagwe mekundu yanauzwa

Hamidu Mindu

Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
38
Reaction score
27
MAHARAGE MEKUNDU NA ROSECOCO (KOMBAT) yanauzwa kuanzia 100KG na kuendelea. Maharage yamesafishwa na yamepakiwa kwenye viroba vya 25kg. Ghala liko tabata, Dar es salaam, bei kwa kilo tsh.1450 . Mikoani utatumiwa kwa gharama zako.

0652601602
 
Tabata kubwa mkuu.
 
Mwingine kaibuka anauza 2300. Sijui yanatofautiana ladha!
 
MAHARAGE MEKUNDU NA ROSECOCO (KOMBAT) yanauzwa kuanzia 100KG na kuendelea. Maharage yamesafishwa na yamepakiwa kwenye viroba vya 25kg. Ghala liko tabata, Dar es salaam, bei kwa kilo tsh.1450 . Mikoani utatumiwa kwa gharama zako.

0652601602
DSM ni free delivery sio? Vipi Maharage ya njano huna?
 
MAHARAGE MEKUNDU NA ROSECOCO (KOMBAT) yanauzwa kuanzia 100KG na kuendelea. Maharage yamesafishwa na yamepakiwa kwenye viroba vya 25kg. Ghala liko tabata, Dar es salaam, bei kwa kilo tsh.1450 . Mikoani utatumiwa kwa gharama zako.

0652601602
Tuhakikishie kuiva kwake mkuu maana kuna mengine tumepata hasara hayaivi
 
Habari?
Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.
Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.
Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma,songwe,mbalali,makambako,njombe,iringa,na morogoro
Asanteni!.
 
Back
Top Bottom