Maharage ya njano ni GMO?

Maharage ya njano ni GMO?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Wakuu kuna hili jambo linanitatiza sana jee ni kweli kwamba maharage ya njano ni GMO?

Maana nimesikia watu wakisema hivyo na kudai haya maharage hayakuwapo kabla

Wengine wanadai yanaleta sukari na cancer

Jee ni kweli kuwa maharage ya njano ni GMO?
FB_IMG_15707083853825415.jpeg
 
Hayakuwepo kwahiyo yamekujaje sasa?

Unaelewa kweli maana ya GMO wewe? kwahiyo kitu ambacho hakikuwepo ndio GMO?
 
Binafsi nakulaga haragwe jekundu halisi na ndiyo huwa linaongoza kwa proteins za kutosha ukitoa soya katika vyakula vya mbegu mbegu
Wakuu kuna hili jambo linanitatiza sana jee ni kweli kwamba maharage ya njano ni GMO?

Maana nimesikia watu wakisema hivyo na kudai haya maharage hayakuwapo kabla

Wengine wanadai yanaleta sukari na cancer

Jee ni kweli kuwa maharage ya njano ni GMO?View attachment 1228664
 
Binafsi nakulaga haragwe jekundu halisi na ndiyo huwa linaongoza kwa proteins za kutosha ukitoa soya katika vyakula vya mbegu mbegu
Sio kweli. Kwasabb mimea jamii ya kunde protein na iron ya kutosha kupatikana kwenye soya na mimea jamii yake. Kwenye jamii ya maharage basi mekundu yake kadai red wala sio nutritive kama nyekundu Ile ya mviringo kama belabela.

Maharage soya ya kijivu ( local name) pamoja na haya ya njano yaan protein kiasi sema yamezidi madini ya zink
 
Mungu kukupatia akili za kujua mema na mabaya na hakukwambia ukajilaze juu ya reli ili treni ikipita ukukanyage na kukuua sababu kufa ni lazima, ondokwa na huo upumbavu ili ufaidi mema ya nchi
Hapo maharage anaitwa sarunge ni jamii ya haya mekundu marefu lkn ywnyewe yana rangi ya khaki/kijivu. Haya ni matamu sana sema yana kiasi kidogo cha sukar na pia yanastawi sehem za mvua na baridi ni indigenous kwa uko mbozi. Haya hayajachakachuliwa mbegu kabisa sawa n.a. maharage fulan ya kupikia kiburu mfupi meupe yanaitwa nkanamna.....kichaga
 
Wewe wasema lakini mi nasimamia papo hapo bila ya kupindisha chochote kile
Sio kweli. Kwasabb mimea jamii ya kunde protein na iron ya kutosha kupatikana kwenye soya na mimea jamii yake. Kwenye jamii ya maharage basi mekundu yake kadai red wala sio nutritive kama nyekundu Ile ya mviringo kama belabela.

Maharage soya ya kijivu ( local name) pamoja na haya ya njano yaan protein kiasi sema yamezidi madini ya zink
 
Hapo maharage anaitwa sarunge ni jamii ya haya mekundu marefu lkn ywnyewe yana rangi ya khaki/kijivu. Haya ni matamu sana sema yana kiasi kidogo cha sukar na pia yanastawi sehem za mvua na baridi ni indigenous kwa uko mbozi. Haya hayajachakachuliwa mbegu kabisa sawa n.a. maharage fulan ya kupikia kiburu mfupi meupe yanaitwa nkanamna.....kichaga
Asante, hayo nisemayo mimi ni ni mekundu kabisa na huchukua masaa matatu hivi kuiva na hata uyaunge kwa kitunguu pekee hakika utaenjoy sana ladha yake.
 
Ni yale marefu mekundu? Ama mafupi? Ama yale yenye umbo kama njugu mawe lkn mekundu sana?
Nyekundu yote ni mazuri lkn haya maneno mekundu yako kama njugu mawe yana madini na protein nyingi zaidi. Ni adimu kidogo kupatikana
 
Hapo maharage anaitwa sarunge ni jamii ya haya mekundu marefu lkn ywnyewe yana rangi ya khaki/kijivu. Haya ni matamu sana sema yana kiasi kidogo cha sukar na pia yanastawi sehem za mvua na baridi ni indigenous kwa uko mbozi. Haya hayajachakachuliwa mbegu kabisa sawa n.a. maharage fulan ya kupikia kiburu mfupi meupe yanaitwa nkanamna.....kichaga
Nndede den ,nkwashihroo kwaasha den mbe......nkanamuna,,,kibulu...kiumbw3ee
 
Back
Top Bottom