MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,993
- 34,867
Bwana Chande,
Kwanza nikupongeze kwa kuhamishiwa TTCL. Kwangu naamini mama kapiga pasi ya kisigino kwa hatua hii ikiwemo ya kumpeleka Biteko nishati na kumteua Meja Jenerali kuwa mwenyekiti bodi ya Tanesco. Sasa naamini mama amepata washauri makini na pengine tukaona mwelekeo mpya kwenye sakata la bandari.
Mpambanaji Chande huko TTCL biashara ni kama imekufa na wameshindwa kabisa kuwa washindani kwenye maeneo ambayo wana competitive advantages. Mfano kwasasa focus yao kubwa ipo kwenye Internet connections ingawa pia wanasuasua.
Landline connection ni kama imekufa na ukiomba huduma hupewi attention kabisa hata maeneo ambayo miundombinu bado ipo. Fatilia request za landline connection jinsi zinavyofanyiwa kazi ubadili uelekeo wake.
Gharama za Internet bado ni kubwa sana, inawezekana kabisa TTCL kuleta mapinduzi kwenye eneo hili na kuwa shirika la mfano barani Afrika. Anzisha kitengo cha utafiti ( business research) na kujaza wataalamu ikibidi hata diaspora.
Naamini unakwenda kuifanyia mapinduzi TTCL na usikatishwe tamaa na wanaokubeza kwa mwenendo wa hali ya umeme ambayo binafsi naamini hukuwa mtu sahihi kwenye eneo hilo ila huku TTCL ndio muda wako wa Taifa kula matunda ya ujuzi wako.