Mahanjamu ya chuchu...wayajua wewe?

Mbona tofauti ndogo.. Gigolo na Lovemaker..

gambachovu upo sahihi kabisa.................gigolo ni yule mchunaji ingawaje naye aweza kuwa lovemaker..............pia ingawaje siyo wote lovemaker ni gigolo
 
Siku hizi kuna Kansa ya matiti........................ ...........! Shauri zenu................LOL

dalili za kansa ya chuchu huijui............Wewe Mtambuzi............ulimi utakueleza kwa ufasaha zaidi..................
 
Suck, suck, suck
inapunguza kansa ya matiti
unaona hapo avatar yangu? Ni mradi wa kupunguza kansa ya matiti.

Kongosho wacha kunichekesha asubuhi hii........mbavu zangu zisije kukatika vipandevipande........
 
mawese hayanisumbui kabisa, afu hamjui siri ya mawese... mawese ni mazuri kwa moyo afu kwa sex ndo yenyewe.

fazaa kwa hili debe itabidi nijaribu na mtu fulani hivi humu humu ndani ya jamvi..............labda nipe mji
 
Chuchu mwana ndiyo mambo yote, natamani nirudi utoto niendelee kuzifaudu!

Ntemi kazwile ulipotolea wapi sikuoni siku hizi....................unatamani urudi utoto ukafanya nini kule wakati chuchu zakusubiri saa hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kukuhudumia.........................changamkia tenda kabla hujachelewa.........
 
Back
Top Bottom