Mahanjamu ya chuchu...wayajua wewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahanjamu ya chuchu...wayajua wewe?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Apr 28, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa mwanamke ni maumbile yake..
  Tabia yake hata iwe bora vipi siyo "reception" yake...........
  Ingawaje tabia nzuri baadaye huja kufunika maumbile yake.......
  Lakini, ukweli usiokwepeka ni kuwa "first impression endures in a man's heart........."
  Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?


  Sura kweli yaweza kunizuzua na butwaa kupigwa.......
  Tabasamu lake laweza kunitikisa na magoti yangu kuweweseka.............
  Macho yake akinirembulia yaweza kunivuta nami kuvutika naye, hata fikra zangu kughafilika.......
  Mashavu yake yakinesanesa huweza kunilainisha....nami nikachanganyikiwa!
  Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?

  Usafiri wake waweza kunifikirisha na hata kuwaza yasiyowazika
  Kiuno chake chaweza kunipagawisha na kuniacha nishike tama.
  Wowowo lake halinipi maruerue nikifahamu wenzangu wengi nitatofautiana nao,
  Miondoko yake yaweza kutia chachu lakini haijitoshelezi, kamwe......
  Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?


  Kwangu mie, lazima nikiri hadharani ya kuwa........
  Mambo yote tisa lakini kumi kwangu ni chuchu zake.......
  Chuchu zake hunipagawisha na huamini ndizo funga kazi.....
  Haya ninayasema nikielewa majukumu ya chuchu kwenye mechi........
  Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?


  Mabusu motomoto kwenye mechi hayahamasishwi na "reception"...
  Lakini mechi haikamiliki kama chuchu sijazing'ata mie.............
  Sijui kwako imekaaje lakini sioni kama mechi imekamilika......na kusikika ikiiva...
  Nakhofu kufafanua kwani sijui una umri gani?
  Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Asikwambie mtu maswala ya chuchu napenda sana kunyonya huuuuwiii!!mpaka nasikia masikio yanaziba halafu liwe gumu!!utanitaka nita duu mpa ile basi!!nikichoka chini nahamia kwenye denda namalizia chuchu full vionjo hakuna kuchoka!!
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Nakusoma,nakusoma mseminari!
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  kumbe KakaKiiza ni mtaalamu wa haya majambozi...........
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Afu raha yake uyapake mawese, yanakuwa kama mandazi vile.
   
 6. k

  kagame Senior Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu zangu wa BKB naona mmejifunua, kwenye fani mmewiva ila what if kama chuchu latoa msosi wa mtoto utalitumiaje? Au bado nalo lastahili kunyonywa? Kulitomasa kwa mkono hakuna hamasa kama ile ya kulitawala kwenye mdomo, nahitaji kujuzwa hapo tu!
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Usinipimie nikiwa certified na chombo nimekipa marks mia!!mbona sana!!:smile-big:
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  mafuta ya mawese tena yanatoka wapi, vile?............nipendavyo chuchu ziwe kavu bila manukato yoyote yale just her and me.........and a blissful lovemaking............................that is all I need............
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  daaa nilikuwa sijui kama luta alikimbia upadre bwana!
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  certified lover or.............an accomplished gigolo?
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  Henge hebu mwuulize vizuri.............
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  ,BKB kila kitu even Kagera tech,Likiwa na maziwa chuchu utapata wapi wakati chuchu inakuwa imeregea??hao kwetu tunawaita "Entokazi"wanawake waliokwisha zaa no chuchu there bro!
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  kagame.........................la mtoto hilo siyo langu..................nitamwachia mtoto anyonye........
   
 14. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Rafiki yangu unakosa raha, raha ya matiti yawe yanatereza...ulimi unatereza wala hauchoki.
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ngoja aje ajieleze mwenyewe mkuu!
  kama kweli inawezekana tulishawahi kuwa pamoja mkuu!
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  mambo yote ni chuchu zake...........
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Style za kigoma nini tujuze mkuu!!:wink:
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  ngozi yake ni laini kama mrenda.................na udenda wangu vikichanganyika sioni chumba cha mawese hapo..........khalafu harufu ya mawese mie siikubali sana........napenda niyakute kwenye ndizi haya zilizopikwa na kuiva kisaawia.........
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Lol thread za namna hii karibia na weekend haya bwana ..
  Mie nimefunga leo ngoja niwe mpole tu:lalala:
   
 20. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu chuchu zinautamu wake bwana hasa ukipata mahali ambako zipo!
   
Loading...