Tuambie hukumu ni lini ?hayo mengine hayasaidii kituKutokana na kesi inayomkabili Mbunge wa Segerea Mhe. Mahanga jana wakati akihitimisha mjadala wa muswada wa sheria kuhusu Mamlaka ya udhibiti wa mashirika ya hifadhi za jamii alijikuta akijitabulisha kama anazungumza kwa niaba ya waziri wa fedha badala ya waziri wa kazi na ajira.
Nashauri ni muda muafaka washauri nasaha wamsaidie ili asichanganyikiwe zaidi!