Natafuta sehemu wanayofanya massage kwa bei nafuu jijini arusha.
Thai massage ni ya namna gani na bei yake?
Sema una kiasi gani, kuna hadi za 500. Wewe tu.
Nenda urembo salooni Kimandolu lakini ujue atakayekufanyia ni mke wa mtu na mumewe yuko around the corner
Sinoni unga limited.
Kwa bibi kijooo.
hahaha kwa jinsi ninavyopafaham ngaleloo hiyo msg itafanyika na panga.