God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
Nenda Impala wana Thai massage
huko ntaweza kupata na huduma ya ziada lakin?
Nenda Impala wana Thai massage
hahaha bila shaka itakua ni wewe
Halafu anayeifanya ni bibi.
Sikushauri kwenda BIG L, nakumbuka nilijikuta navaa nguo zangu kabla ya massage kuisha yule mdaa mtata sana bana....Complex wako serious na kazi yao.
Sikushauri kwenda BIG L, nakumbuka nilijikuta navaa nguo zangu kabla ya massage kuisha yule mdaa mtata sana bana....Complex wako serious na kazi yao.
Sinoni unga limited.
Kwa bibi kijooo.
Nenda Palace Hotel opposite office ya mkuu wa mkoa Arusha kuna mrembo wa ukweli lakini ukimaliza massage usiombe number ya simu.
Big L-florida
Njiro Complex-Njiro
Kuna moja ipo opposite na Cultural Heritage(njia ya kisongo)
Nipo maeneo ya soko mjinga nikitoka niwasili hapo........huyo bibi anauza pombe gani ya kienyeji rahisi kumpata
Natafuta sehemu wanayofanya massage kwa bei nafuu jijini arusha.
Warekebishe watu nawe jirekebishe pia. Hospital ya Selian iko ngaramtoni naBig L ndo mpango mzima,
Ipo karibu na roundabout ya Florida, Karibu na Selian hospital
"mimi pia nafanya na sema unahitaji ya wapi na nakufata ulipo but utanigharamia bodaboda,tax,bajaji kukufata ulipo.
Wewe ni me au ke mkuu? Usije ukamjuma nyoso mteja
"mimi pia nafanya na sema unahitaji ya wapi na nakufata ulipo but utanigharamia bodaboda,tax,bajaji kukufata ulipo.