Mahali ilipo Lilian Kibo High School

JPM605

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
216
122
Mwenye kujua anifahamishe.

Mahali ilipo Lilian Kibo Sekondari.

Ukiwa Ubungo panda gari za kimara mbezi na shuka Mbezi Mwisho then mwambie dereva yeyote wa boda boda au bajaji atakupeleka hadi shule kwa gharama ya elfu tatu.

Pili kama ukiwa Mwenge panda gari hadi njia panda ya Goba karibu na Tangi Bovu then unaweza panda gari za Goba na watakushusha mahali husika ukiwaeleza.
 
Back
Top Bottom