VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
dhana ya CJ ni kuacha kazi kwanza kwa hakimu ndio aweze kuapishwa
huwezi kuapishwa kuwa private advocate wakati wewe ni hakimu
CJ yuko sawa.
suala la kimgongano wa maslahi litakuwepo
imagine hakimu kapewa kesi ambayo firm yake ndio inasimamia lazima atoe upendeleo ili mteja wao ashinde
Mgaistrate Act na Advocate Ordinance nadhani ziko clear kuhusu hili
who may serve as advocate of the High court save for primary courts.

Kijana, kwani akina Jaji Zainabu Muruke, Twaib, Mujulizi, Masati, Jundu, Nyangarika, Sheikh et al sio Mawakili wa Kujitegemea?? Hawa ameteuliwa wakiwa mawakili wa kujitegemea toka Private Law firms na hawakuambiwa wajivue uwakili kwanza ila kwa sasa hawapewi tu vyeti.
Suala la Mgongano wa maslahi haliepukiki. Ni maadili ya mtu tu

Dhana ya kuwazuia mawakili wa Serikali au Mahakimu kutoapishwa kwa kile kinachodaiwa ni mgongano wa maslahi ni ubinafis na upuuuzi mtupu wa watendaji wetu wakuu (Mwanasheria Mkuu na Jaji Mkuu). Hakuna Sheria yeyote inayowazuia kuapishwa. Wala pia hakuna Sheria au waraka unaozuia Mtu akiwa wakili (aliyeapishwa kuwa wakili wa kujitegemea - Advocate) kutoomba kazi za uwakili wa Serikali au Uhakimu. Mbona Majaji wengi walioteuliwa kwenye Bench wanatokana na Mawakili binfasi na mgongano wa maslahi hautajwi??. Sasa imekuwa vutugu tupu kwani wapo vijana kibao wanaomaliza shule ya Sheria (LAW SCHOOL ) wanaapishwa kuwa mawakili na baadae kuajiriwa kama Mawakili (STATE ATTORNEYS) au Mahakimu (MAGISTRATES) . Hawa vijana waliobahatika kupitia LAW SCHOOL wanawapiku kaka na dada zao waliowatangulia ambao waliamua kufanya kazi ya Uwakili wa Serikali au Uhakimu na kujikuta wakizuiwa kuapishwa kwa hila tu za mtu binafsi.
Sasa huyo Jaji Mkuu haoni kama hawatendei haki baadhi ya Mahakimu walioanza pasipo kuapishwa?? au aoni kuwa anatengeneza matabaka miongoni mwa mahakimu (wale ambao tayari ni Mawakili na wale ambao sio Mawakili)??...Kwa nini majaji watokane na mawakili kama dhana ni kuwa ukiwa wakili basi hupaswi kuwa Hakimu??. Nimeambiwa kule kwa Mwanasheria Mkuu, Mawakili wa Serikali wameruhusiwa kuapishwa lakini hawapewi vyeti (practising certificates ) Hii itasaidia kuwatambua kwa maana ya Seneority kwenye Uwakili.
Wakati wenzetu wa Kenya na Waganda wanapigania kuaongeza idadi ya Mawakili, sisi tunatengeneza sera mbovu za kuwazuia wasiongezeke.
Wawe wanaomba kujitoa kwenye kesi zenye maslahi nazo na kama hawafanyi hivyo na ikabainika wawe wanapewa adhabu kali.
Tulio wakulima wa nyanya huku Itabagumba tunasoma comment za watu alafu tunachanganya na zetu ila kama CJ yupo sahihi vile kwa michango niliyoona japo CJ kwa kirefu zijui maana kithungu nacho kwa sie wakulima ni issue nzito
toafutisha kati ya wakili wa kujitegemea kuwa jaji
na hakimu kuwa wakili wa kujitegemea akiwa kazini
akishakuwa jaji haruhusiwi kuendesha kesi zitokazo kwenye firm yake na haruhusiwi kupractice kama wakili,
haijawahi na haitokaa itokee hakimu awe wakili bila kuacha kazi
au jaji akubaliwe kuwa wakili wa kujitegemea akiwa kazini[/QUOTE]
Kuna logic hapa kiaina kwa sie maamuma wa sheria
ni halaliHarakati za Mahakimu wa Mahakama mbalimbali Tanzania kuapishwa kuwa Mawakili zimegonga mwamba. Taarifa toka Mahakama ya Rufani Tanzania zinasema kuwa Jaji Mkuu Othman Chande amewakatalia mahakimu wote kuapishwa kuwa Mawakili hapo tar 7 ya mwezi huu wa Disemba. Mahakimu hao wametakiwa kuacha kazi ili waapishwe. Je,ni halali?
Ni halali kabisa.Harakati za Mahakimu wa Mahakama mbalimbali Tanzania kuapishwa kuwa Mawakili zimegonga mwamba. Taarifa toka Mahakama ya Rufani Tanzania zinasema kuwa Jaji Mkuu Othman Chande amewakatalia mahakimu wote kuapishwa kuwa Mawakili hapo tar 7 ya mwezi huu wa Disemba. Mahakimu hao wametakiwa kuacha kazi ili waapishwe. Je,ni halali?
dhana ya cj ni kuacha kazi kwanza kwa hakimu ndio aweze kuapishwa
huwezi kuapishwa kuwa private advocate wakati wewe ni hakimu
cj yuko sawa.
Suala la kimgongano wa maslahi litakuwepo
imagine hakimu kapewa kesi ambayo firm yake ndio inasimamia lazima atoe upendeleo ili mteja wao ashinde
magistrate act na advocate ordinance nadhani ziko clear kuhusu hili
who may serve as advocate of the high court save for primary courts.
Haiwezi kutokea hakimu awe jaji akiwa kazini
au jaji akubaliwe kuwa wakili wa kujitegemea akiwa kazini.