VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
- Thread starter
-
- #21
Mgomo ndio mwisho wa mambo yote..mahakimu hawaruhusiwi kugoma kisheria.
labda hawa wapya hawajui ethics zao
hela watapelekewa fungu lao limeshatengwa.
waliendaje kwenye vituo vya kazi bila fedha za kujikimu na usafiri? inatia shaka.
Wata-argue vp wakiwa na njaa? Tafakari vyema...Lawyers do not believe in mgomo but arguments.
Aseee baba yangu sasa nani ataskiza kesi yangu niliibiwa mbuzi zangu na kesi iko mahakamani sasa wakigoma itakuwaje
ngoja nile mbege niwai mahakama kuu kisutu nikapinge mgomo
Mhhh!.. Kweli ww ni Kiherehere nimekubali!.
Wale Mahakimu Wakaazi 300 walioajiriwa na Serikali mnamo mwezi wa sita na kusambazwa mikoani wako njiani kugoma.Taarifa nilizozipata zinaonesha kuwa Mahakimu hao,tangu kuajiriwa kwao hawajalipwa mshahara wowote au hata fedha za kujikimu. Taarifa zinaonesha kuwa hali zao sasa ni mbaya na wanateseka vya kutosha.
Kwakuwa wote wanajuana vyema,Mahakimu hao Wakaazi ambao wamepelekwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama za Mwanzo wamepanga kugoma ili kudai maslahi yao kwa Serikali 'sikivu'. Ifahamike kuwa Mahakimu wakaazi ni wale wenye elimu ya ngazi ya Shahada na kuendelea na hawakuwahi kuwepo katika Mahakama za Mwanzo.Kupelekwa kwao,kutaruhusu Mawakili Wasomi kujitokeza Mahakama za Mwanzo.
Wanasema 'liwalo na liwe'....
Nawe MBEGE ZITAKUZEESHA, KILA SIKU?Aseee baba yangu sasa nani ataskiza kesi yangu niliibiwa mbuzi zangu na kesi iko mahakamani sasa wakigoma itakuwaje
ngoja nile mbege niwai mahakama kuu kisutu nikapinge mgomo