Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
Nimeanza kesi ya talaka tokea 2018. District court wakafanya hukumu ikaisha.
Mwenzangu akakata rufaa high court. Huku ndiyo shida kesi imekaa kama vile inasikilizwa upya kiasi mpaka mwanamke wangu mpya hadi akaaga dunia bila ndoa mpya. Sasa nina mtarajiwa mpya likesi haliishi.
Nimechoka na mihakama yetu ya bongo. Kama watu hawataki kuelewana weka hukumu Kila mtu afanye yake. Tunapotezeana muda bure.
Ndoa ikifa imekufa mazima. Mahakama zimekuwa kutudidimiza wanaume tusioe Tena mikesi haiishi. Unakuta likesi la divorce linachukua mpk Miaka 10.
Tunakwama wapi jamani?