Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo
"Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu, mlifanya majukumu yenu na mliyafanya kwa usahihi. Hivyo ninaichukua kesi hii mikononi mwangu tena. Kwahiyo Mheshimiwa 'from now on' mimi ndiye nitakaojibizana na hao mawakili wa serikali",
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Franco Kiswaga, ametoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu ambayo ni kumruhusu Lissu kukabiliana moja kwa moja na Mawakili upande wa Jamhuri na si Mawakili wake kufanya hivyo mpaka atakapoamua vinginevyo.
Hakimu amesema...
"Kuanzia sasa hoja zitakuwa zinajibiwa kati ya upande wa Mawakili wa Jamhuri na Mshitakiwa mwenyewe mpaka pale atakaposema vinginevyo, kwamba naomba Mawakili wangu warudi"
==
Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.
Soma, Pia: Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi
Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.