Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge Aesh Hilal wa CCM

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mahakama ya Rufaa imemrejeshea ubunge mbunge wa Sumbawanga Aesh Hilal leo.

Awali mahakama kuu ilikuwa imemvua ubunge lakini akakata Rufaa.

Mwaka jana Mahakama kuu ilikuwa imekubaliana na aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Mwl Norbert Yamsebo aliyekuwa amefungua kesi kupinga ushindi wa Hilal.Mojawapo ya mambo yaliyokuwa yamethibitishwa na mahakama kuu mwaka jana ni matumizi makubwa ya Rushwa.
 
...daaah ngoma imechakachuliwa live, hebu funguka kidogo kiongozi tujue msingi wa kesi..
 
Duhhhh haya bwana

hongereni masisiemu

leo bukusabasaba zinawahusu.....

vijana wa lumumba, sroke a.k.a m23, ritz, bungeni, wingu,... Come this way changamkieni thread hiii mpate buku saba saba... Tehhhhh, hao wanakuja sasa.......
 
Wameamua kuiweka mizani balance.
Nchi hii hakuna haki kabisa!
Hii biashara ya uteuzi wa majaji unaofanywa na mwenyekiti wa chama cha siasa unafikia ukingoni.
Tunataka free judicial commission!!!
 
Hakuna jipya maana wengi tulishajua matokeo yatakavyokuwa "balanced Equation" ... Igunga vipi? Dr Kafumu ni mtu wao wakaribu sana! Sidhani kama watamtosa...
 
Jamani tukubalini maamuzi ya mahakama ya Rufaa. At least Mahakama ya rufaa pamoja na majaji wake kuchakachuliwa na Kikwete lakini bado nina imani nayo.

Yamsebo ajipange for 2015.
 
Kwa ufupi ni kwamba yule mbunge wa Sumbawanga aliye vuliwa ubunge kashinda rufaa aliyokata mahakama kuu. mia
 
Wameamishia akili za watu Arusha alaf wakachakachua Sumbawanga....
The Time well tell ngoja muone
 
i expect something like this before. hakuna haki hapa.
 
hebu tungejua kwanza makosa yaliyofanya avuliwe ubunge. Mahakama zetu zinatakiwa zitende haki na sio kuambua kwa utashi.

Pole saaaaana, ila tusubiri 2015.
 
na igunga KAFUMU WATAMRUDISHA TU.
DUUH HIZI MAHAKAMA..... NA HAWA MAJAJI WSIO HATA NA DIGRIII......
 
Mahakama ya Rufaa imemrejeshea ubunge mbunge wa Sumbawanga Aesh Hilal leo.

Awali mahakama kuu ilikuwa imemvua ubunge lakini akakata Rufaa.

Mwaka jana Mahakama kuu ilikuwa imekubaliana na aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Mwl Norbert Yamsebo aliyekuwa amefungua kesi kupinga ushindi wa Hilal.
Sad news, Igunga vipi kamanda?
 
hebu tungejua kwanza makosa yaliyofanya avuliwe ubunge. Mahakama zetu zinatakiwa zitende haki na sio kuambua kwa utashi.

Pole saaaaana, ila tusubiri 2015.

Alikuwa na makosa ya kutoa rushwa....inasikitisha sana aise!
 
Back
Top Bottom