42_007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,561
- 824
Acheni kukariri..mnakariri hadi maisha.basis hawakupaswa kutuambia kuwa watajenga
Acheni kukariri..mnakariri hadi maisha.basis hawakupaswa kutuambia kuwa watajenga
Kwa bahati nzuri sheria haifanyi kazi vile unavotaka wewe. Nyumbu weweMamvi naomba awe mshitakiwa wa kwanza kwenye hiyo mahakama, maana yeye ndiyo chanzo cha ufisadi wote.
Hahaaaa! Habari gani kuhusu wale walioahidiwa kulindwa? Ikitokea nao wanahitajika kujibu mashitakamahakama yenyewe ya kusadikika, au unajua ilipo?
Kumbe,ilikuwa ni siasa!dahHakuna Mahakama ya Mafisadi. Kuna Mahakama Kuu. Hizo Rushwa na Ufisadi vitashughulikiwa chini ya division iliyo chini ya Mahakama Kuu. Majaji walewale, mawakili wale wale, delays zile zile.
Sio kitu rahisi kumuadhibu uliyeshirikiana nae kuiba kwa miaka nenda rudi.
Huu ni ukweli zile kauli zilikuwa za wajanja kuwaaminisha wajinga....WAJINGA ni Chakula ya WAJANJAHakuna Mahakama ya Mafisadi. Kuna Mahakama Kuu. Hizo Rushwa na Ufisadi vitashughulikiwa chini ya division iliyo chini ya Mahakama Kuu. Majaji walewale, mahakimu wale wale, mawakili wale wale, delays zile zile.
Sio kitu rahisi kumuadhibu uliyeshirikiana nae kuiba kwa miaka nenda rudi.
kumbe!dah!wajinga ndio waliwao!Huu ni ukweli zile kauli zilikuwa za wajanja kuwaaminisha wajinga....WAJINGA ni Chakula ya WAJANJA
na ujenzi wa viwanda piaSa hizi washahamisha agenda imekuwa ni kuhamia Dodoma.
Ngonjera za mahakama ya mafisadi zishazikwa.
imeoza kama nini?Mahakama Ipo Na Kwasasa Itaanza Kazi Haraka
Maana Bandari Imeoza
Upigaji Dealsimeoza kama nini?
Nimekusoma,ila kama ni hivyo sidhani tutafika popoteUpigaji Deals
ok,mi nilifkr na fisadi mkuu,atashughulikiwaItaanza na kesi mpya
mkuu,labda nae sio fisadi kulingana na kamusi ya awamu ya tanoLugumi hajapelekwa hata mahakamani
Mkuu unaposema fisadi mkuu unatuacha hewani kwani katika waliopelekwa mahakamani hatujaambiwa yupi ndio mkuu waook,mi nilifkr na fisadi mkuu,atashughulikiwa