Mahakama ya mafisadi imeenda kusipojulikana?

Hiyo Mahakama iko wapi? Na Majaji wake ni akina nani? Na kesi zinazoendelea ni zipi?
Wwe fanya ufisadi ,wwe na ndg zako mbona mtaijua ilipo na hadi majaji na ma offisa wa magereza mtawajuwa wote tena kwa majina yao!!
 
Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi, inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi hivi sasa hatujaona Mtu akifunguliwa mashtaka ya ufisadi na huenda kwa sababu wenye Mali ndiyo walaji wenyewe kwa hivo imekuwa ngumu kumkamata mtu mwenye ngozi.

Toka alipofariki hayati imekuwa hakuna hata chombo cha habari wala taasisi yeyote inayoongelea hii mahakama.

Leo Naileta kwako mahakama ya mafisadi imewaka kwa muda mfupi na kuzima hapo hapo kama umeme wa TANESCO.

Kwa ripoti ya CAG tungewadaka wengi ilaa ndiyo hivyo CCM inajimilikisha nchi na kukiuka sheria.

NIKUPONGEZE MADEREVA SEE YOU NEXT TO ARUSHA
Hivi sasa bila shaka ni kambi ya ulizi ya mafisadi.!
 
Itakuwa mafisadi yameisha
 
Back
Top Bottom