Mahakama ya kadhi

Mahakama ya kadhi

Waislamu huwa tunauzana wenyewe kwa wenyewe.

Kesho atatafutwa mkristo wa kutupiwa lawama hakikosekana atasemwa Nyerere.

Kina Kundecha kimyaaaa baada ya kujazwa posho, Profesa Njovu aliandika mpaka kitabu kujifanya ana uchungu na dini, leo yupo wapi??

Unafiki umetamalaki sana kati ya waislam
 
Kuwepo au kutokuwepo kadhi si jambo la kuurudisha nyuma au kuupeleka mbele Uislam.

Waislam tutasonga mbele bila fujo na ukifika wakati, licha ya katiba, hukum zote zitakuwa za Kiislam, tena wataanza wao wenyewe, kwani Uislam ndio njia pekee ya kuishi hapa duniani na akhera.

Kama wanavyoanzisha Islamic banking bila kulazimishwa na hukum za Kiislam zingine zitashamiri kutokana na wao hao wapinga Uislam bila kulazimishwa.
Mtasonga mbele kivipi huku kila siku mnashindwa na nyie mpo only 35% of Tanzanians? It is shame to your deity, he can't even compete with Paulo Mtume wa Wakristo. That is sad and shame.

Islam is the religion of about 35% of the people of Tanzania according to CIA.[SUP][1][/SUP] On the mainland, Muslim communities are concentrated in coastal areas, with some large Muslim majorities also in inland urban areas especially and along the former caravan routes. More than 99% of the population of the Zanzibararchipelago is Muslim.[SUP][2][/SUP] The majority ofMuslims in Tanzania are Sunni of Shafi school of jurisprudence, with unusually significant Shia and Ahmadi minorities in sub-Saharan Africa. According to Pew research center, two-thirds of the Muslim population of Tanzania is Sunni, while the rest is either Shia (20%) or Ahmadi (15%).[SUP][3]

http://en.wikipedia.org/wiki/Islam_in_Tanzania[/SUP]
 
Sikuwai kuckia yahani katiba imefanya wajinga waonekane hivi ayamaneno ya kidini yanakujaje huisilamu na ukristo tuache ujinga kama ninjaa turudi tukalime acheni uchafu huo ss sote ni ndugu,
 
Waislamu huwa tunauzana wenyewe kwa wenyewe.

Kesho atatafutwa mkristo wa kutupiwa lawama hakikosekana atasemwa Nyerere.

Kina Kundecha kimyaaaa baada ya kujazwa posho, Profesa Njovu aliandika mpaka kitabu kujifanya ana uchungu na dini, leo yupo wapi??

Kundecha,Jongo na wenzake wataipitisha Rasmu 100%.Kesho wanaanza kusingizia Mfumo Kristo
 
Waislam tuna matatizo sana hivi hakuna mambo mengine ya kushughulikia zaidi ya mahakama ya kadhi?

Kila siku kadhi kazi... Kadhi ndo nn kwani....
 
Back
Top Bottom