kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Inashangaza sana.
Kila watu mule bungeni walichaguliwa kwa kazi maalum ikiwemo wawakilishi wa iman zao mbali mbali kwenye suala la katiba.
Wakristo na waislam.
Wakristo wana mambo yao wanayofikiri yakiongezwa kwenye katiba wataona imewatendea haki na waislam wana mambo yao ambayo wanafikiri yakiongezwa kwenye katiba wataona wametendewa haki.
Sasa cha ajabu pale wale waislam wanaposimama kuelezea mawazo yao hutokea wakristo na kuyapinga.
Badala hao wakristo kusimama na kuelezea yao wanayoyahitaji wao husimama kupinga ya waislam kwanini??
wale wakristu wa mle mjengoni dawa yao moja.kuwatupia majni ili wote wawe vichaa.ama nini mkuu.