Mahakama ya Kadhi yalitafuna Bunge

Mahakama ya Kadhi yalitafuna Bunge

Hivi waislamu wakiugua hawaendi bugando au kcmc? Hivi zile shule za wakristu waislamu wanzuiwa kusoma pale. Nina kumbuka hata Rais wetu ambaye ni mwisilamu safi aliwahi kueleza kuwa alisema shule ya wakristu. Ni elimu hii iliyo pia fursa mpaka akawa Rais wetu.

Wewe acha ujinga watu wa mwanzo kupeleka MOU serikalini walikuwa akina Sheikh Ponda na walikataliwa na walipokuja makanisa MOU ikapita kwa vigezo kuwa imefikia vigezo husika. Na pili ficha ujinga wako wamiliki ya Bugando na KCMC ni akina nani? Je gawio la pato au dividend kutoka katika hospitali au shule kuna msikiti gani umefaidika? Wafanyakazi waislamu wangapi Bugando na KCMC. Tuondolee upuuzi wako hapa hakuna mjinga kadanganye wengine.
 
Wengi wa hawa wanaopiga kelele humu wamesoma kwa vile Nyerere alitaifisha shule za kanisa. Lakini leo wanavyofanya shukurani ya punda kwa Nyerere huwezi kuamini.

Mimi na sema makanisa nayo yafike pahala ya weke utaratibu, ukitaka huduma zinazotolewa na kanisa kama hospital, elimu shuruti ubatizwe kwanza, tuone kama utasikia hizi kelele za mou hapa.

Katiba iseme wasi kuwa wakati wa kuhesabu watu/ sensa kigezo cha kujua dini ya mtu kiwepo tukate huu mzizi wa fitina maana hili ndio eneo jingine ambalo Nyerere alilitumia kuwabeba hawa wasio na shukurani.
 
Mungu wetu si dharimu hata awaruhusu watu hawa wawe na 'Lugha moja'....kama si kufichuliwa mbinu zao chafu kupitia kura za walionje basi hao waliondani bado hawataelewana.

Shame to polisi, shame to 6 and jk.
 
Wewe acha ujinga watu wa mwanzo kupeleka MOU serikalini walikuwa akina Sheikh Ponda na walikataliwa na walipokuja makanisa MOU ikapita kwa vigezo kuwa imefikia vigezo husika. Na pili ficha ujinga wako wamiliki ya Bugando na KCMC ni akina nani? Je gawio la pato au dividend kutoka katika hospitali au shule kuna msikiti gani umefaidika? Wafanyakazi waislamu wangapi Bugando na KCMC. Tuondolee upuuzi wako hapa hakuna mjinga kadanganye wengine.

weka takwimu acha kutishia watu kwa kufoka foka, hiyo MOU waliyopeleka mashehe ikitaka nini kifanyike kati ya serikali na mali za waislamu.

wenzenu walitaka kuchukua shule zao, vyuo vyao, hospitali zao ndipo serikali ilipokubaliana nao kuwa huduma wanazotoa ambazo zilipaswa kutolewa na serikali zichangiwe moja kwa moja na hazina, kinyume chake serikali ingepaswa kujenga skuli nyingi sana, vyuo vingi pia hospitali ndo usiseme, mvumi mision, kilimatinde, nkungi, kcmc, bugando, shirati, ndanda mision, kiomboi, itigi, puma mision . . . . . . nimezitaja haraka haraka kwa uchache.

Mpango wenu wa kuwazalisha mabinti wa kikritu na kuwadhulumu haki zao kupitia "KADHI" umegonga mwamba, kamwe hautafaulu.
 
Tuseme uko sahihi hebu nifahamishe ni kwanini Serikali inatoa Bilioni 91 kila mwaka kwa makanisa? Pesa inayotoka katika kodi ya watanzania ambapo sisi waislamu hatufaidiki lolote na umiliki wa hospitali au shule ya kanisa???

Wewe kawaulize vizuri masheikhe wako wasikalie kukuzuga hivi wewe unafikiri nchi hii ina mataahira kutoa mapesa yote hayo kwa kitu cha kijinga????na bila faida kwa jamii???jiulize kwanza wewe.
 
Mimi si muislamu ila waislamu wanahaki na mahakama yao kwani nyie CCM si mliwaaidi au mlidhani kutakua hakuna uchaguzi mwingine wakakumbushia ahadi yao?mliwaona majuha sasa leo mnaumbuka.WHAT GOES AROUND COMES GROUND.Mmeshikwa pabaya.

CCM walikuwa wanawatumia tu maana wao si Hawajitambui!!!!!
 
nyie wakristo kama mnamambo yenu,ombeni yaingizwe kwenye katiba.lakini siyo kuikataza mahakama ya kadhi

Sasa ndugu yangu zenj imeshindwa kujiunga na OIC,sasa hii ishu ya kuingiza mahakama ya kadhi kwenye katiba itawezekana kweli?hiyo ni sawa na kutekenya kinyago alafu utegemee kicheke.
 
Hii nchi ilishapiga hatua kimaendeleo, hata viboko mashuleni marufuku. Leo mahakama za kuhukumu viboko(mijeledi) mia, apigwe mawe hadi afe.nk . Tuwaachie wanaigeria na ndg zao. Si wabongo tuacheni jamani.
 
Tuseme uko sahihi hebu nifahamishe ni kwanini Serikali inatoa Bilioni 91 kila mwaka kwa makanisa? Pesa inayotoka katika kodi ya watanzania ambapo sisi waislamu hatufaidiki lolote na umiliki wa hospitali au shule ya kanisa???

hakuna ruzuku inayotoka serikalini kuisadia kanisa, kanisa la Tanzania linapata misaada mingi toka makanisa marafiki kama vile UK, USA, ujerumani n.k waislamu tangu Gaddafi awuawe hakuna msikiti wowote mliojenga tangu awajengee ule Wa Dodoma ambao mmeficha majambia ndani ya msikiti mkisuburi vita ya jihadi.muendelee kubaki hivyo na mawazo yenu ya madrasa
 
Wakristo wa nchi hii ni zaidi ya mbumbumbu licha ya elimu vyeti walionayo. Na nyie si muingize madai yenu? Kwanini mnazuia madai ya wenzenu?

Kama mnataka mahakama ya kadhi nendeni uarabuni,alafu hiyo mahakama ya kadhi hamna lolote mnataka tu kuoana na kuachana kirahisi na kudai mirathi yaani ninyi waislamu mnapenda kurithi mali za watu hamtaki kutafuta mnapenda vya kunyonga tu,mimi hata sioni umuhimu wa hiyo mahakama ya kadhi japo hilo li katiba la ccm siliungi mkono hata 0%.
 
Inashangaza sana.

Kila watu mule bungeni walichaguliwa kwa kazi maalum ikiwemo wawakilishi wa iman zao mbali mbali kwenye suala la katiba.

Wakristo na waislam.

Wakristo wana mambo yao wanayofikiri yakiongezwa kwenye katiba wataona imewatendea haki na waislam wana mambo yao ambayo wanafikiri yakiongezwa kwenye katiba wataona wametendewa haki.

Sasa cha ajabu pale wale waislam wanaposimama kuelezea mawazo yao hutokea wakristo na kuyapinga.

Badala hao wakristo kusimama na kuelezea yao wanayoyahitaji wao husimama kupinga ya waislam kwanini??
 
Kuwa kuna watu hajui kwamba kuwepo wa wakilishi wa dini zao niili pia washuhudie jinsi gani ilivyo ngumu kuingiza masililahi ya dini mojamoja katika katiba ya taifa lisilo na dini.

Wale wa wakilishi wakishajua hivyo watoe mrejesho kwa wanao wa wakilisha kuwa jamani hili haliwezekani kulazimisha ni kutafuta kuvurugana bila ya sababu ya msingi.
 
lakini tambua waislam ni wengi kuliko wakristo mule ndani

Yaani wewe umeona mahakama ya kadhi ndiyo muhimu kuliko vitu vyote?kwa taarifa yako wale wajumbe wa bmk wameshalewa laki 3 kwa siku sidhani kama watapingana na tamaa zao dhidi ya huo utumbo wa mahakama ya kadhi,kwanza mahakama zetu za kawaida zimetushinda wewe unaleta mahakama ya kadhi
 
Wakristo si mbumbumbu kama nyie mnaodanganywa na ccm kuwa wameliweka suala la KADHI kwenye ilani yao wakati wanajua wazi kuwa kufanya hivyo walikuwa wanawazuga ili mtoe kura zenu kwa ccm na mlipowapa tu wakaiondoa na kwenye ilani yao hivyo mkawa mmetumiwa kama TOILET-PAPER.sasa hapo nani mbumbumbu?.Wakristo hawezi kuomba kuingiza mambo yao ya Ibada kwenye katiba wao wana uwezo kugharamia shughuli zao bila msaada wa katiba,Tunapenda tu kuwashauri muanzishe mahakama hizo kwa gharama zenu mkishindwa ombeni wafadhili toka uarabuni wawasaidie kuendesha hizo mahakama mkishindwa basi mzibinafsishe kwa waislam wenye uwezo waziendeshe.
Makadhi wapo. Wapo chini ya taasisi nyeti, Bora na Muhimu, BAKWATA
 
Back
Top Bottom