Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

Ritz Pagan, kama CDM ni chama cha Wakristo mtajijua wenyewe..kwangu mimi CDM na CCM ni takataka za chooni nadhani umenipata naona unadandia pipe kwa mbele
 
Waislamu wana matatizo sana siku zote wao ni watu wakuonewa sijui tatizo nini!!!!!!!!!!!!!...............Wataishia kunawa.

manano yenu ni makali sana kiasi kwamba hata yesu wenu hapendi kusikiliza. mpende adui yako
 

wewe ndo unazidi kuwaharibia waislam kwa taarifa yako,jinsi unavyo link vyama vya siasa na imani za dini,kama ndivyo...mkuu jiulize tu,watu wakiamua kupiga kura nchi hii kwa imani za kidini kama unavyotaka ie wakristo (CDM) na waislam (CCM &CUF), ni mgombea wa chama gani atakayeshinda?

Sitaki uweke jibu hapa,nahitaji ufikirie tu,jibu liache huko huko moyon mwako kaka.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
MKUU UNGEKUWA NA ELIMU NA IQ INAYOFANYAKAZI UNGEPOTEZEA,NA DOUBT HATA UTIMAMU WA KICHWA CHAKO...MWEZI MCHANGA NN. We si umeambia potezea mbona unaji......ea. &lt;

Wewe ni nani mpaka uniambie nini cha kufanya? nilijiunga JF kukuoa wewe? au unanilipia broadband? we mwehu nini? Ndio mnajiunga JF kutafuta mabwana? khanithi mkubwa wee
 
Sidhani hata kama kodi unalipa... na kwa taarifa serikali imejitoa.. tutadhamini wenyewe... tafuta lingine

Inaelekea hujui hata kodi ya serikali inakusanywa vipi! ukinywa soda, ukinunua sembe, ukilipa ada ya shule, ukienda u/taifa kuangalia mechi n.k kote huko unalipa kodi au ulifikiri hadi ugongewe hodi mlangoni kudaiwa kodi?
 
Tushirikiane kuwekeza katika kuwapatia Elimu dunia waislam ili kupunguza Visasi vya kidini, kulazimishana kufunga, Milipuko na kuifanya dunia iishi kistaarabu zaidi. Hakuna lisilowezekana.
 

Achana na watu waliomezeshwa mambo. Hawa watu mara nyingi wakizidiwa kwa hoja wanakimbilia kuingiza udini ili watu wasihukumu kwa hoja wahukumu kidini zaidi. Wee kama kikuu cha nchi tuu kinajiingiza kwenye udini unategemea nini?
 

mode funga hii topic kwa maana haina tija kujadili kitu kilishatolewa uhamizi... Na mkuu wa kaya
 
Kama wewe na huu utafiti wako unavyoiharibia CDM, kwanza mimi rais hata akiwa Mkiristo au Muislam, kwangu mimi sawa hakuna cha maana, nadhani wewe mpaka povu linakutoka unapenda rais atoke kwenye dini yako sijui itakusaidia nini, jibu kaanalo tu moyoni mkuu
 
JK alituchana vizuri sana ile siku ya IDD kule Dodoma. Kama mahakama ya kadhi tumepewa ruhusa ya kuanzisha, natuisimamie wenyewe. Je, tunataka serikali itusaidie nini tena? Vile vile kuhusiana na shule tumeambiwa tujenge, hospitali pia tujenge ili na sisi tuombe MoU kama wakristu walivyoomba wakapewa.


Tatizo letu hatuna Hospitali kama wakristu ndiyo maana tunalalamika. Wakistu wanayo Bugando na KCMC hospitali zinazotoa huduma kwa wananchi wote bila ya kubagua. Sasa sisi tuna nini?

Shule tunazo lakini kwa matokeo mabaya ndiyo zinazoongoza. Kwa hilo tunabisha? Tusomeni tuache kubwabwaja. Hakuna anayetuonea. Mimi ni Mwislam lakini sikubaliani na madai yenu. Hayana msingi.
 
Tuache kulalamika. JK ametuambia ukweli. Tunaweza kuanzisha mahakama ya kadhi lakini haitasimamiwa na serikali. Pia kuhusu wakristu kusasidiwa mimi binafsi ninaona ni jambo zuri maana wao wanazo hospitali kubwa tena zinatoa hudma bila ya kubagua. Sisi waislam hatuna hospital. sasa tunacho lalamika ni nini?

Shule tunazo lakini zinashikaga mkia kenye matokeo. Tukaze buti, tusome, tuache kubwabwaja bwabwaja. habari ndiyo hiyo. wakristu ndiyo wanavyosonga mbele, wanapata ajira nzuri.

Sisi tunacheza bao tu na kugongea gahawa na kashata tu. Huo ndio ukweli. Tusome then tutaona mafanikio. Hakuna short cut in life. we have to struggle
 

Mkuu upo ryt mia mia, mpaka leo waislam tuna chuo kikuu kimoja tu, badala tujenge vingine Bakwata imekalia majungu tu na kuipinga cdm na maandano. Kwa hali hii tutamlaumu nani? Mchawi wa waislam ni waislam wenyewe.

Na hiyo Bakwata sitaki hata kuisikia, tujenge mashule,vyuo,mahospitali tusimamie watoto wasome waelimike angalau huko mbeleni kuwe na uwiano. Ila kulalamika tu hatutafika popote, Islam means salaam is z my way.
 
Wewe ni nani mpaka uniambie nini cha kufanya? nilijiunga JF kukuoa wewe? au unanilipia broadband? we mwehu nini? Ndio mnajiunga JF kutafuta mabwana? khanithi mkubwa wee
Pro-CDM-JF utawatambua tu kwa maneno yao
 
Ndugu yangu unamaanisha wakristo wapi? hao mafisadi? Mbona wengi tunao huku mitaani choka mbaya tunapigana mizinga tu? Kuwa mkweli man. waliosoma ni wachache sana na ni mafisadi, ndo maana 50 years ya uhuru wa bendera sisi sote ni masikini wakutupwa.
 
Wakubwa ` mimi ni mgeni ktk uwanja huu lakini ninachokiona kuhusina na mada hii ni kwamba Inahitajika kwanza wanachi waelimishwe nini maana ya kadhi na kwa nini inahitajika na kwanini ipo na inaoperate vipi kwenye nchi zenye watu wengi wasio waislam km vile AMERICA, Uingereza, Uganda, Kenya.

Je serikali hizo zina mchango gani katika mahakama hizo kinachoonekana hapa kwetu ni watu kujadili kitu ambacho hawaelewi bali wanajadili kwa kuogopeshwa, na kuwafanya kujadili kwa kutusi dini na watu wake nadhani haipendezi la hasha serikali inawajibu kuwapa waisalamu nafasi kuelimisha umma ili uelewe.
 
Sidhani hata kama kodi unalipa... na kwa taarifa serikali imejitoa.. tutadhamini wenyewe... tafuta lingine

Kama mna uwezo wa kujidhamini wenyewe kwa nini mnaililia serikali, huu ni unafiki wa mwaka!
 

Mambo ya waislamu yataamuriwa na waislamu wenyewe, hakuna haja ya kuelimishana katika hili,
kuwepo kwenye nchi zingine kunatokana na aina ya siasa zao, kwa mfano Marekani wamejijengea
maadui katika nchi za Kiislamu ndiyo maana wanawazuga na mahakama ya kadhi.
 
MAHAKAMA YA KADHI: jamii ya watanzania tunahitaji ELIMU YA NGUVU kuhusiana na mahakama hiyo hivyo serikali iwape nafasi waislamu waelimishe jamii yetu ili watoe michngo yao kwa uelewa na siyo kutishana, wala kutukanana si vizuri la hasha!!!!!!!!!!!!!!!! watu wengi wanaonekana wanjadili lakini wanonekana hawaelewi wanachomaanisha mwisho wanishia kutusi uislamu na waislamu kwa ujumla. mimi naona hilo ni jambo la msingi lipewe nafasi wwote ni wabongo!!!!!!!!!!!!!!1
 
Ndugu yangu unamaanisha wakristo wapi? hao mafisadi? Mbona wengi tunao huku mitaani choka mbaya tunapigana mizinga tu? Kuwa mkweli man. waliosoma ni wachache sana na ni mafisadi, ndo maana 50 years ya uhuru wa bendera sisi sote ni masikini wakutupwa.

Unamaanisha kina Idd Simba, Rostam Azziz, Yusuf Manji, Riz1... ni kweli mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…