Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
kama umegunduwa wewe nilikupotezea siku nyingi sana ku replay posts zako .. mzee wa degree tatu! wala usijisumbue kunijibu.. u ain't even my level of thinking & understanding .. yaan we nipotezee tu! nashangaa unajina la kiarabu alafu unalalamika waislam wanapenda waarabu kuliko waafrika
mawazo yako ni kama ya wale waliochonga lile sanamu la mzungu lililopigiwa misumari & die with helpless death nakuwaambia ati ni mungu ... tumia ubongo kufikiri
Kama mawazo ya waislamu ndiyo haya mtaendelea kuwa watumwa wa kina Gaddafi milele.
na ninyi mtaishia kutoa macho... nyerere kafa ... waislam wameamka...
Yes,! nchi hii si yawaisliamu pekee, hata animists wapo hapa tanzania.inakuwaje waislamu tu ndio waone wao wanahaki zaidi ya wengine? mahakama hiyo anzisheni kwa fedha zenu,au tafuteni wafadhili kutoka nchi za kiarabu.Kudos to JK kwa ku-speak the obvious. Hakuna 'dini' yenye haki ya kuidai serikali itimize ibada yake. At least serikali ktk hili ipo ktk uelekeo sahihi.
Huyu ni kiongozi wa CDM ndio anataka wapewe nchi angalia maneno yake dhidi ya Imani ingine ngoja umkute anavyoisifia CDM utashangaa jinsi povu linavyomtoka, siku mkichukuwa nchi sisi wapagan si mtatupiga risasiMahakama ya kadhi haiwezi kuwa chini ya serikali alah wao anaroho mbaya sana ,atakata mikono watu!kwanza hata wakipewa kutakuwa hamna wateja utaskia hukumu mtu anachapwa viboko 80 pale posta!
Ni vigumu sana kutofautisha CDM na Kanisa, Huyu nae ni kiongozi mkubwa wa CDM sijui kwa nini CDM wanakuwa na chuki na imani zingine wasiwasi wangu sisi wapagan si mtatunyoga mkipewa nchiOn my dead body siwezi kuruhusu kodi yangu ikanunue panga la kukata watu mikono.
Hawa ndio wanazidi kuigombanisha CDM na Jamii ya Kiislam. Teh teh teh tehMuhammadans bana matatizo matupu
Hawa ndio wanazidi kuigombanisha CDM na Jamii ya Kiislam. Teh teh teh teh
Ukiambiwa CDM ni chama cha Wakisto na mawazo yenu wote mnataka Padre Slaa, awe rais mnabisha. Teh teh tehKama mawazo ya waislamu ndiyo haya mtaendelea kuwa watumwa wa kina Gaddafi milele.
Of coz huezi kwenda toe to toe na mtu aliyekuzidi IQ and elimu pia thats pretty obvious..by the way jina nimepewa and it is purely for identification purposes..like an ID. Ngojea nkukukumbushe.'.njiwa' kikwetu ni mtu anayezibuliwa choo..
Wakatabahu
Dr. Abdulhalim bin Njelenje
Ni vigumu sana kutofautisha CDM na Kanisa, Huyu nae ni kiongozi mkubwa wa CDM sijui kwa nini CDM wanakuwa na chuki na imani zingine wasiwasi wangu sisi wapagan si mtatunyoga mkipewa nchi
Jamani nyie CDM mbona mnazidi kuichoganisha CDM na Waislam hivi hamtaki Waislam wajiunge na CDM jamani!Hii dini ina matatizo kama aliyokuwa nayo Mtume Muddy........Manake alikuwa hajui kusoma wala kuandika.
Jibu hoja wewe acha kukashifu, tukianza kukashifu utakimbia mwenyewe. Muulize Ally Kombaanampata vizuri Mzito Kabwela. Ok, hebu nipe ilimu hapa, Marehemu Mudi alipata elimu dunia?
Ndugu yangu mimi sio Muislam kwanza ujue mimi ni Pagan hayo maneno kawaeleze Waislam.waislam mnadanganywa kirahisi kwamba Mkuu wa nchi akiwa muislam basi matakwa ya waislam yatatekelezwa hata kwa kuivunja katiba.......
muislam ndugu yake muislam na yapaswa amsaidie muislam kwa gharama yeyote sasa JK amewasaidia sana kwa kufafanua na kuzielewesha bongo zenu kwamba mahakama ya kadhi kwa kodi zetu haitawezekana
Jibu hoja wewe acha kukashifu, tukianza kukashifu utakimbia mwenyewe. Muulize Ally Kombaanampata vizuri Mzito Kabwela. Ok, hebu nipe ilimu hapa, Marehemu Mudi alipata elimu dunia?
Ndugu yangu mimi sio Muislam kwanza ujue mimi ni Pagan hayo maneno kawaeleze Waislam.
Mimi nachoshangaa hawa jamaa niliowajibu pamoja na wewe huwa tunajadiliana mambo ya siasa kila mara humu jamvini wao ni CDM, nawashangaa tena hao hao nawakuta wanawakejeli watu wenye imani tofauti na wao bahati nzuri CDM karibia wote ni Wakiristo.
Ushauri wangu acheni hizo mnazidi kumgombanisha Dr Slaa na Waislam pamoja na sisi Wapagan ni hayo tu mpwa!
Aliyetaka kugombanisha wakristo na waislam ni JK lakini kwa sasa naona akili imemkaa sawa kwa hiliNdugu yangu mimi sio Muislam kwanza ujue mimi ni Pagan hayo maneno kawaeleze Waislam.
Mimi nachoshangaa hawa jamaa niliowajibu pamoja na wewe huwa tunajadiliana mambo ya siasa kila mara humu jamvini wao ni CDM, nawashangaa tena hao hao nawakuta wanawakejeli watu wenye imani tofauti na wao bahati nzuri CDM karibia wote ni Wakiristo.
Ushauri wangu acheni hizo mnazidi kumgombanisha Dr Slaa na Waislam pamoja na sisi Wapagan ni hayo tu mpwa!
Nani kakutaza kujadili soma thead yote halafu uone mimi nilikuwa nawajibu kina nani!