Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.
Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.
Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.
Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.
Mbona mlishaambiwa siku nyingi au mnasubiri mjengewe na serikali?Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.
Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.
Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.
Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.
Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.
Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.
Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.
Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.
Mbona mlishaambiwa siku nyingi au mnasubiri mjengewe na serikali?
Na itambulike kuwa serikali haitashiriki katika gharama za uundwaji wala uendeshaji shughuli za mahamaka ya kadhi - serikali.
Yeah!kwa gharama ya waislamu?
Msidanganyane! mlipo kodi mkubwa ni Waislamu kutokana na wingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.Sr Magdalena said:Mlipa kodi mkubwa Tanzania ni TBL hawa jamaa wanafanya kila liwezekanalo fedha hii ya TBL iende ikaendeshe mahakama ya Kadhi,.
Ulimaanisha Firaun? (Pharaoh) au?
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.Mlipa kodi mkubwa Tanzania ni TBL hawa jamaa wanafanya kila liwezekanalo fedha hii ya TBL iende ikaendeshe mahakama ya Kadhi,.
Magdalena, hawa watu wa ajabu, hivi watapata faida gani kwa kuwa na hizo mahakama. I am trying to imagine having a catholic court, of what benefit will it be to me as a catholic anyway!!! Labda sina ufahamu wa hizo mahakama za kadhi with regard to faida zake. naomba kueleweshwa!