sisi hatuna issue na malalamiko yasiokuwa na msingi.
sisi makafiri tuache tulipe kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi itumike kuwalipa mishahara mahakimu wa kadhi?
sisi makafiri tuuze nguruwe zetu hela hizo ziwalipie mahajimu wa kadhi
kwa hili CCM itajikuta imeumia kuliko inavyodhani
![]()
Halafu ni kwanini wamekatwa mkono wa kulia na mguu wa kushoto ina maana wakitaka kula watatumia mkono wa kushoto,wakitaka kuchamba mkono wa kushoto bora wangekata mkono wa kushoto kuliko mkono wa kulia msosi.
Shari ya nini tunataka haki yetu
Uyo ni mjinga wakristo wanapokea mabilioni ya pesa kuputia memorundam of understanding,ambao serikali inajicoment itatoa ,pesa na kusaidia makanisa toka 1992 umesainiwa na lowasa,sasa hizo pesa c kodi za hawa waislam wanaodai mahakama ya kadhi.
Tanzania ni nchi ambayo serikali yake haina dini,ila wananchi wake wana dini,na sote tunaongozwa na katiba ambayo ndio mama wa heri taifa zima,inakuwaje kunafanyika mipango mizito bungeni kuhakikisha kuwa mahakama ya kadhi inakuwepo Tanzania?
Kwanini mambo ya dini yasiamuliwe na mabaraza ya dini husika?
Waislam waende Bakwata na wakristo nao kwao,kupitisha mahakama ya kadhi ni kutulazimisha watanzania wote tuwe waislam.
Sheria haiwezi kuwa kwenye katiba halafu useme inatumika kwa kundi moja katika jamii,kivipi?
Iwapo mahakama ya kadhi itapita basi taifa hili litapasuka,kesho wakristo watakuja na madai yao wakitaka yawemo kwenye katiba,kesho kutwa watakuja wapagani nao na madai yao yawemo kwenye katiba,mwisho wake nini kama siyo mpasuko mkubwa kwa taifa?
Watanzania hatuwezi kukubali kuona mtu anapigwa mawe hadi kuuawa eti kwa kuwa kazini,mahakama ya kadhi haitakuwepo,Tanzania hatuna dini,kila mmoja na aabudu kwa imani yake,imani yako isiwe kero kwa wengine.
Nakupenda Tanzania,MUNGU ILINDE NCHI YANGU ULIYONIPA.

Don't call urself @ Wiseboy wakati unaongea pumba. Hebu tuambie ni nchi gani iliyo na mahakama ya kadhi halafu mpasuko ukawepo. Acha mawazo potofu.
![]()
Duh inatisha lakini si mbaya sana kwakuwa haituhusu shauri lao wanaoipigania.
Hii dini nzuri sn. Nna hamu ya kuua ili niende peponi. Masharti ya kujiunga na boko haram all shabab al kaeda uamsho isisl ni yepi jamani? Nataka nikampiganie alla
![]()
Halafu ni kwanini wamekatwa mkono wa kulia na mguu wa kushoto ina maana wakitaka kula watatumia mkono wa kushoto,wakitaka kuchamba mkono wa kushoto bora wangekata mkono wa kushoto kuliko mkono wa kulia msosi.
![]()
Hii hali inatisha unaweza kufikiri hawa jamaa wamepata ajali ya piki piki kumbe sharia imechukua mkondo wake.
We babu usiwe kama Kiazi maana sharia ya dini mwizi ni kukatwa mkono na inategemea kaiba nini sio aibe Kandambili ndio akatwe mkono. Afu hao Vilema wamekataa hadi Mguu ni sheria gani hiyo naomba uniambie
bado uislaam ni dini iliyokamilika.
na pia uwe na akili ya kupambanua Uislam ni dini teule na wafuasi wake ni binaadamu .wanyama miti na vyote vilivyoumbwaa na kuwekewa mfumo maalum wakuishi. hivyo kwenda kinnyume na malengo au msimamo wa dini inabaki ni hali ya kibinaadam na wala sio diniii.
Tuambie basi, hadi aibe nini ndio anakatwa mkono?We babu usiwe kama Kiazi maana sharia ya dini mwizi ni kukatwa mkono na inategemea kaiba nini sio aibe Kandambili ndio akatwe mkono. ...
Quran 5:33... Afu hao Vilema wamekataa hadi Mguu ni sheria gani hiyo naomba uniambie