Mahakama ya Kadhi italipasua Taifa

Mahakama ya Kadhi italipasua Taifa

Status
Not open for further replies.
naomba kuwauliza wadau baba mtakatifu mwalim nyerere alianzisha alibinafsisha mashirika ya umma viwanda tuayaongoza sisi wazawa.
je walikuwa wanaongoza hayo mashirika walikuwa dini gani? mpaka yakafirisika
 
Tanzania ni nchi ambayo serikali yake haina dini,ila wananchi wake wana dini,na sote tunaongozwa na katiba ambayo ndio mama wa heri taifa zima,inakuwaje kunafanyika mipango mizito bungeni kuhakikisha kuwa mahakama ya kadhi inakuwepo Tanzania?

Kwanini mambo ya dini yasiamuliwe na mabaraza ya dini husika?

Waislam waende Bakwata na wakristo nao kwao,kupitisha mahakama ya kadhi ni kutulazimisha watanzania wote tuwe waislam.

Sheria haiwezi kuwa kwenye katiba halafu useme inatumika kwa kundi moja katika jamii,kivipi?

Iwapo mahakama ya kadhi itapita basi taifa hili litapasuka,kesho wakristo watakuja na madai yao wakitaka yawemo kwenye katiba,kesho kutwa watakuja wapagani nao na madai yao yawemo kwenye katiba,mwisho wake nini kama siyo mpasuko mkubwa kwa taifa?

Watanzania hatuwezi kukubali kuona mtu anapigwa mawe hadi kuuawa eti kwa kuwa kazini,mahakama ya kadhi haitakuwepo,Tanzania hatuna dini,kila mmoja na aabudu kwa imani yake,imani yako isiwe kero kwa wengine.

Nakupenda Tanzania,MUNGU ILINDE NCHI YANGU ULIYONIPA.

Umesikia wapi ilipo hiyo mahakama watu wamepigwa mawe?hiyo ni kwa ajili ya ndoa, talaka na mirathi tu,na kama ndoa imehusisha watu wa imani mbili tofauti au makosa mengine ya kijinai yatashughulikiwa ktk mahakama za kawaida.
 
na kama mahakama ya kadhi hakuna ni bora utokee mpasuko wache tuchapane maana amani tumeshaichoka

Wewe mzunguka mawe unategenea kila kitu Kanisa mpaka hospital ukiumia utaenda kutibiwa wapi ? Jipangeni kwanza
 
Ndugu zetu waisilamu mnapenda dezo. Mnakwepa gharama mnatubebesha mambo ya dini kwenye kodi? Nani atagharimia cost kuirun? Mahaka ya serikali ina hahi mbaya kifedha na nyie mbataka mskadhi wenye wake kumi walipiwe ba kodi? Pumbafu yenu

Waislam hawana haja ya kuendeshewa hizo mahakama,wanachotaka maamuzi yake yaheshimiwe kisheria ktk mambo ya mirathi,ndoa na talaka kwa wale waliooana kidini waislam kwa waislam.
 
Kabla ya kukurupushwa na chuki na kukimbilia kupost hapa, kwanza ungefanya ka-research kadogo tu. Kenya mahakama ya kadhi imo kwenye katiba yao, umesikia mpasuko wowote wa kidini? Au umesikia watu wamepigwa mawe mpaka kufa huko?

Waislamu wa Uganda na Kenya sio walalamishi Kama wataanza , mara ooh Bakwata inatukandiza mara oh hh nataka chombo cha kunihukumu
 
Tanzania ni nchi ambayo serikali yake haina dini,ila wananchi wake wana dini,na sote tunaongozwa na katiba ambayo ndio mama wa heri taifa zima,inakuwaje kunafanyika mipango mizito bungeni kuhakikisha kuwa mahakama ya kadhi inakuwepo Tanzania?

Kwanini mambo ya dini yasiamuliwe na mabaraza ya dini husika?

Waislam waende Bakwata na wakristo nao kwao,kupitisha mahakama ya kadhi ni kutulazimisha watanzania wote tuwe waislam.

Sheria haiwezi kuwa kwenye katiba halafu useme inatumika kwa kundi moja katika jamii,kivipi?

Iwapo mahakama ya kadhi itapita basi taifa hili litapasuka,kesho wakristo watakuja na madai yao wakitaka yawemo kwenye katiba,kesho kutwa watakuja wapagani nao na madai yao yawemo kwenye katiba,mwisho wake nini kama siyo mpasuko mkubwa kwa taifa?

Watanzania hatuwezi kukubali kuona mtu anapigwa mawe hadi kuuawa eti kwa kuwa kazini,mahakama ya kadhi haitakuwepo,Tanzania hatuna dini,kila mmoja na aabudu kwa imani yake,imani yako isiwe kero kwa wengine.

Nakupenda Tanzania,MUNGU ILINDE NCHI YANGU ULIYONIPA.

Mkuu umeandika kitu cha msingi sana, sana sana hapo kwenye imani yako isiwe kero kwa mwingine,,,
 
Kabla ya kukurupushwa na chuki na kukimbilia kupost hapa, kwanza ungefanya ka-research kadogo tu. Kenya mahakama ya kadhi imo kwenye katiba yao, umesikia mpasuko wowote wa kidini? Au umesikia watu wamepigwa mawe mpaka kufa huko?
Yaani we kila kitunreference yako ni Kenya..nahisi unaweza kulingaisha nyumba yako na Kenya,TZ ni Tz bwana,ina historia yake pekee...kwahiyo ikiwa Kenya ndo iweje?
 
kama umechoka kuishi Tanzania,tafuta pa kwenda uhame ktk hii nchi,usijidanganye kabisa kuwa eti kama hakuna mahakama ya kadhi eti nchi itaingia vitani,mtakaojaribu kuvuruga amani mtaishia jela wote,wala msijaribu,vyombo vyetu vya dola viko imara sana,hutaki amani,nenda Syria,Iraq,Central africa,somalia na n.k.

Hata kwenye vyombo vya dola kuna wa islam pia na wanaitaka mahakama ya kadhi.
 
Hiyo mhahakama ya nini?mbona kesi za ndoa na mirathi uwa zinasuruhishwa na bakwata na mashee wa wilaya,sasa cha ziada wanachotegemea kukipata mahakama ya kadhi ni kipi?
 
Mansoor said unasema bola tuchapane sababu u have nothing to loose,unaishi uswahilini nyumba ya kupanga so hata vita ikija wewe huna la kupoteza,kwa mtu msomi na mwenye akiri hawezi kuongea utumbo kama huo,kama unapenda kupigana nenda kajiunge isis ukakutane na vichaa wenzako huko wanao penda kuona damu za ndugu zao zikimwagika,but hapa Tanzania atakaye jaribu tu kuharibu amani atakiona cha mtema kuni.
 
Tanzania ni nchi ambayo serikali yake haina dini,ila wananchi wake wana dini,na sote tunaongozwa na katiba ambayo ndio mama wa heri taifa zima,inakuwaje kunafanyika mipango mizito bungeni kuhakikisha kuwa mahakama ya kadhi inakuwepo Tanzania?

Kwanini mambo ya dini yasiamuliwe na mabaraza ya dini husika?

Waislam waende Bakwata na wakristo nao kwao,kupitisha mahakama ya kadhi ni kutulazimisha watanzania wote tuwe waislam.

Sheria haiwezi kuwa kwenye katiba halafu useme inatumika kwa kundi moja katika jamii,kivipi?

Iwapo mahakama ya kadhi itapita basi taifa hili litapasuka,kesho wakristo watakuja na madai yao wakitaka yawemo kwenye katiba,kesho kutwa watakuja wapagani nao na madai yao yawemo kwenye katiba,mwisho wake nini kama siyo mpasuko mkubwa kwa taifa?

Watanzania hatuwezi kukubali kuona mtu anapigwa mawe hadi kuuawa eti kwa kuwa kazini,mahakama ya kadhi haitakuwepo,Tanzania hatuna dini,kila mmoja na aabudu kwa imani yake,imani yako isiwe kero kwa wengine.

Nakupenda Tanzania,MUNGU ILINDE NCHI YANGU ULIYONIPA.

enyi makafiri,
kwanini haiwezi kupita siku bila kuutaja uislamu?
nyinyi mna dini yenu,na sisi tuna dini yetu....
 
wakristo kama mnaona mnaweza kudai nanyi mambo yenu serikalini basi fanyeni hivyo,siyo wenzenu wanadai mambo yanayowafaa katika dini yao ili waabudu vizuri nyinyi wakristo mnachukia.

Mkiambiwa mnachuki juu ya waislam mtakataa? Serikali kama mzazi wetu sote wakristo na waislam tunatakiwa kumuomba mahitaji yetu binafsi na si ya kifamilia.

Sisi waislam tunaiomba serikali ambayo ni mzazi wetu ili tupate uhuru wakuabudu mahakama ya kadhi inatakiwa iwemo kwenye katiba.

Wewe mkristo kama unalako mwombe nawe mzazi wetu serikali akutekerezee jambo lako. Nasio kufanya fitina ili alichoomba mwenzio asipewe.

Niwakati wenu wakristo kubadirika na kuwa na upendo kwa waislam.
 
kama umechoka kuishi Tanzania,tafuta pa kwenda uhame ktk hii nchi,usijidanganye kabisa kuwa eti kama hakuna mahakama ya kadhi eti nchi itaingia vitani,mtakaojaribu kuvuruga amani mtaishia jela wote,wala msijaribu,vyombo vyetu vya dola viko imara sana,hutaki amani,nenda Syria,Iraq,Central africa,somalia na n.k.

Huyo jamaa kapost ujinga mtupu,nahisi huyo sio mtanzania,aende akachapane ye na familia yake.
 
Mwaka juz hili swala lilishika kasi sana naishukuru serikal ilipowaambia waanzishe wnyw lkn washughulike na mambo yao kama ndoa,mirathi m bd nashangaa kwnn wanasema serkal haiwasikilizi?

Hata mie hawa jamaa nashindwa kuelewa kwanini wanang'ang'ania iwe kwenye katiba? Na ukiwauliza hili swali wanakujibu kama hujui kaa kimya,au mbona Kenya ipo! Hawaeleweki kwa kweli
 
Kamwe hatuwezi kuruhusu mahakama zinazoongozwa na nguvu za giza nchini ziwepo kwenye katiba, mahakama ya kadhi inatambua uwepo wa majini, wachawi na bundi sasa itakuwaje iwepo kwenye na katiba na akati nchi haitambui imani za kishirikina.
 
Mansoor said unasema bola tuchapane sababu u have nothing to loose,unaishi uswahilini nyumba ya kupanga so hata vita ikija wewe huna la kupoteza,kwa mtu msomi na mwenye akiri hawezi kuongea utumbo kama huo,kama unapenda kupigana nenda kajiunge isis ukakutane na vichaa wenzako huko wanao penda kuona damu za ndugu zao zikimwagika,but hapa Tanzania atakaye jaribu tu kuharibu amani atakiona cha mtema kuni.

hahaaaa watanzania bhana wanaogopa kufa.sehemu yoyote duniani kama watu wanaomba wapate haki yao kwa hilba chuki kwa nini wapate ndio mwanzo wa machafuko katika nchi husika
 
Kupigana sio solution ya kumaliza tatizo,alipo tutafautisha Mwenyezi MUNGU kati ya sisi ni binadamu na wanyama ni utashi,wanyama wanapigana sababu hawana utashi,waislamu na wakristu ni ndugu moja but tulikuja kutenganishwa na wazungu na waarabu walivyo kuja kuvamia nchi zetu,me sioni umuhimu wa kupigana wakati sisi ni watoto wa babu moja Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom