Dj mat
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 747
- 476
wakristo kama mnaona mnaweza kudai nanyi mambo yenu serikalini basi fanyeni hivyo,siyo wenzenu wanadai mambo yanayowafaa katika dini yao ili waabudu vizuri nyinyi wakristo mnachukia.
Mkiambiwa mnachuki juu ya waislam mtakataa? Serikali kama mzazi wetu sote wakristo na waislam tunatakiwa kumuomba mahitaji yetu binafsi na si ya kifamilia.
Sisi waislam tunaiomba serikali ambayo ni mzazi wetu ili tupate uhuru wakuabudu mahakama ya kadhi inatakiwa iwemo kwenye katiba.
Wewe mkristo kama unalako mwombe nawe mzazi wetu serikali akutekerezee jambo lako. Nasio kufanya fitina ili alichoomba mwenzio asipewe.
Niwakati wenu wakristo kubadirika na kuwa na upendo kwa waislam.
Sio kila kitu utaomba kwa mzazi.Kwann msianzishe hiyo mahakama yenu kwa garama zenu wenyewe?mnapenda sna mdebwedo(kubebwa) ktk kila jambo.Kama hamna uwezo wa kuendesha hiyo mahakama tafuteni mfadhili.