Mahakama ya Kadhi italipasua Taifa

Mahakama ya Kadhi italipasua Taifa

Status
Not open for further replies.
Kwani waislam wakitaka waongozwe kwa mujibu wa dini yao nani wa kuwazuia...?
Sasa huu mjadala kama wangeujadili wao wenyewe kwenye nyumba za ibada zao kwa kuwa ni mabo yao ya kidini ni nani ana taka kujua hata nini kinaendelea huko.....Tatizo wanataka kuwasikilizisha watu muziki wasioutaka
 
Hii ni zawadi ambayo Jk atawapa ndugu zake katika imani. Ila atashindwa maana ule upande mwingine akili ni nyingi mno.
 
Sasa huu mjadala kama wangeujadili wao wenyewe kwenye nyumba za ibada zao kwa kuwa ni mabo yao ya kidini ni nani ana taka kujua hata nini kinaendelea huko.....Tatizo wanataka kuwasikilizisha watu muziki wasioutaka

Mkuu, kama ilivyo kwa wakristo wenzako hamtumii fikra zenu yakinifu mkajua hata ni nini mnasimamia kwenye hili...! Walichodai waislam ni kutambuliwa kwa mahakama ya kadhi...!

Kutambuliwa maana yake hukumu zinazotolewa na Kadhi ziwe na msingi wa kisheria...
 
sharia-cripples.jpg

Hii hali inatisha unaweza kufikiri hawa jamaa wamepata ajali ya piki piki kumbe sharia imechukua mkondo wake.
 
kama umechoka kuishi tanzania,tafuta pa kwenda uhame ktk hii nchi,usijidanganye kabisa kuwa eti kama hakuna mahakama ya kadhi eti nchi itaingia vitani,mtakaojaribu kuvuruga amani mtaishia jela wote,wala msijaribu,vyombo vyetu vya dola viko imara sana,hutaki amani,nenda syria,iraq,central africa,somalia na n.k.
mbona husemi ukraine? Hata ikiwepo mahakama ya kadhi hakutakuwa na shida yoyote
 
(a) There is no valid basis whatsoever for the inclusion of the Kadhis' Courts in the Constitution;
(b) If Muslims alone get preferential treatment for setting religious Courts, then other communities and faiths would come forward to have separate courts
(c) Provision such as Kadhis' Courts is normally covered under the general law. It should not be part of the main body of the Constitution,
(d) Due to different school of interpretation of the Holy Koran and Hadith which figh will the Kadhis' Courts follow? Will there be Kadhis' Court as per separate jurisdiction of Shias and Sunis? What would be the views of Ismaili or Bohra Communities on the issue?
(e) Even in Pakistan, no universal Islamic courts could be established due to confusion and conflicts between the figh Jaferia of Shias and the figh of Sunis
(f) Several sects of Muslims community do not follow Kadhis' Courts but have their own jurisprudence.
(g) The awards of the Kadhis' Courts are based on the sole discretion of the Kadhi. What view do the Muslim Women have on this system? Do the majority of the Muslim Women concerned get a fair trial in Kadhis' Courts? Are they convinced that their welfare and fundamental rights are protected at the hearings?

[h=3]In the Matter of Kadhis' Court and the Constitution of Tanzania[/h]

No one can answer either of the questions posed above in the manner of defending kadhi court.
 
Tanzania ni nchi ambayo serikali yake haina dini,ila wananchi wake wana dini,na sote tunaongozwa na katiba ambayo ndio mama wa heri taifa zima,inakuwaje kunafanyika mipango mizito bungeni kuhakikisha kuwa mahakama ya kadhi inakuwepo Tanzania?

Kwanini mambo ya dini yasiamuliwe na mabaraza ya dini husika?

Waislam waende Bakwata na wakristo nao kwao,kupitisha mahakama ya kadhi ni kutulazimisha watanzania wote tuwe waislam.

Sheria haiwezi kuwa kwenye katiba halafu useme inatumika kwa kundi moja katika jamii,kivipi?

Iwapo mahakama ya kadhi itapita basi taifa hili litapasuka,kesho wakristo watakuja na madai yao wakitaka yawemo kwenye katiba,kesho kutwa watakuja wapagani nao na madai yao yawemo kwenye katiba,mwisho wake nini kama siyo mpasuko mkubwa kwa taifa?

Watanzania hatuwezi kukubali kuona mtu anapigwa mawe hadi kuuawa eti kwa kuwa kazini,mahakama ya kadhi haitakuwepo,Tanzania hatuna dini,kila mmoja na aabudu kwa imani yake,imani yako isiwe kero kwa wengine.

Nakupenda Tanzania,MUNGU ILINDE NCHI YANGU ULIYONIPA.

Mkuu I concur with you upon the position above.

...but as a matter of learning, I'm interest with your signature, please can you give the authority if any?. Thanks in advance.
 
Hivi kupinga mahakama ya Kadhi kwa hoja ya kwamba kodi za watanzania wa imani tofauti kutumika kwenye mahakama ya kadhi(waislamu) kwamba jambo hilo si sawa..Je vp kuhusu hili jambo la kuwaalika viongozi wa serikali katika shughuli za kidini?mfano Rais wetu wa nchi anapoalikwa na wakristo au waislamu katika shughuli ya kidini,na huku msafara wake wa magari,mafuta ya magari na mengineyo hizo zote hugharamiwa na kodi za watanzania ambao wengine ni wenye Imani tofauti, hawafaidiki na lolote na msafara huo uliyotumia kodi zao.Je jambo hili mlishawahi kulitizama?
 
ubwege mwingine hauna kiwango, aliyekuambia hiyo mahakama italeta hayo unayoyoyasema weqe ni nani........? tuachieni wenyewe waisalmu na hii mahakama. ni ajabu mfugaji au mkulima kuilalamikia mahakama ya biashara hali ya kuwa haimuhusu.
Tanzania ni nchi ambayo serikali yake haina dini,ila wananchi wake wana dini,na sote tunaongozwa na katiba ambayo ndio mama wa heri taifa zima,inakuwaje kunafanyika mipango mizito bungeni kuhakikisha kuwa mahakama ya kadhi inakuwepo Tanzania?

Kwanini mambo ya dini yasiamuliwe na mabaraza ya dini husika?

Waislam waende Bakwata na wakristo nao kwao,kupitisha mahakama ya kadhi ni kutulazimisha watanzania wote tuwe waislam.

Sheria haiwezi kuwa kwenye katiba halafu useme inatumika kwa kundi moja katika jamii,kivipi?

Iwapo mahakama ya kadhi itapita basi taifa hili litapasuka,kesho wakristo watakuja na madai yao wakitaka yawemo kwenye katiba,kesho kutwa watakuja wapagani nao na madai yao yawemo kwenye katiba,mwisho wake nini kama siyo mpasuko mkubwa kwa taifa?

Watanzania hatuwezi kukubali kuona mtu anapigwa mawe hadi kuuawa eti kwa kuwa kazini,mahakama ya kadhi haitakuwepo,Tanzania hatuna dini,kila mmoja na aabudu kwa imani yake,imani yako isiwe kero kwa wengine.

Nakupenda Tanzania,MUNGU ILINDE NCHI YANGU ULIYONIPA.
 
sharia-cripples.jpg

Hii hali inatisha unaweza kufikiri hawa jamaa wamepata ajali ya piki piki kumbe sharia imechukua mkondo wake.

Wanataka kutuongezea mzigo wa walemavu katika. Sasa watu kama hao si tayari wamekua tegemezi.
 
sharia-cripples.jpg

Hii hali inatisha unaweza kufikiri hawa jamaa wamepata ajali ya piki piki kumbe sharia imechukua mkondo wake.
Kweli inatisha. Kwa hukumu kama hizi walemavu wataongezeka katika jamii na kupoteza nguvu kazi
 
Kwani waislam wakitaka waongozwe kwa mujibu wa dini yao nani wa kuwazuia...?

hapo serikali imechemka; kila dini/dhehebu ikitaka ifungue mahakama ya kwao, kutakuwa na nchi hapo? pinda kachemka sana kwenye hiyo ishu,
 
Wanatuita makafir wakati tukienda kwenye maduka yao hawakatai kupokea pesa zetu!
Wanatuita makafiri wakati,wakiugua wanatibiwa kwenye mahospitali na madaktari makafir!
Wanatuita makafir wakati wanataka tuwaendeshee mahakama zao kwa kodi yetu!

Dini zenye mikono ya binadamu utaziona tu!
 
tanzania ni nchi ambayo serikali yake haina dini,ila wananchi wake wana dini,na sote tunaongozwa na katiba ambayo ndio mama wa heri taifa zima,inakuwaje kunafanyika mipango mizito bungeni kuhakikisha kuwa mahakama ya kadhi inakuwepo tanzania?

Kwanini mambo ya dini yasiamuliwe na mabaraza ya dini husika?

Waislam waende bakwata na wakristo nao kwao,kupitisha mahakama ya kadhi ni kutulazimisha watanzania wote tuwe waislam.

Sheria haiwezi kuwa kwenye katiba halafu useme inatumika kwa kundi moja katika jamii,kivipi?

Iwapo mahakama ya kadhi itapita basi taifa hili litapasuka,kesho wakristo watakuja na madai yao wakitaka yawemo kwenye katiba,kesho kutwa watakuja wapagani nao na madai yao yawemo kwenye katiba,mwisho wake nini kama siyo mpasuko mkubwa kwa taifa?

Watanzania hatuwezi kukubali kuona mtu anapigwa mawe hadi kuuawa eti kwa kuwa kazini,mahakama ya kadhi haitakuwepo,tanzania hatuna dini,kila mmoja na aabudu kwa imani yake,imani yako isiwe kero kwa wengine.

Nakupenda tanzania,mungu ilinde nchi yangu uliyonipa.

una hoja nzito, nikutoe hofu tu. Mahakama hiyo haipitti.
Waislam wenyewe hawana msimamo ni bendera fuata upepo.
 
Ni kweli kijana tunatakiwa kuleta hela nchini,watu wa Africa magharibi wamejitahidi kutuma dolar nyingi nchinii mwao km zawadi kuwekeza na mengine mengi tofauti na sisi. Nchi km China, Pakistani, Korea,I ndia etc zinakadiriwa kupeleka hela chini mwao km misaada kwa jamaa na ndugu pekee kwa kiasi ambacho hata nchi za magharibu wamefika mahali pa kuangalia kwa makini. Mara nyingine wanachukulia km inawapunguzia mzigo wa kutoa misaada,na mara nyingi wanona kuwa ni threat ktk uchumi wao.

Statistics za makampuni ya money transfer companiies km Western Union zinaonyesha Hela za kutisha zikielekea Asia na kidogo Africa Magharibi. Hapo ndipo tutakapoona ubunifu wa wezetu ktk hii huduma na baadaye kujikita nchi masikini. Hawa jamaa jamaa wanatoa huduma ya kupeleka hela ila pia wanafanya kazi nzuri ya kuzirudisha. Wamejitahidi kujikita nchi masikini na kujenga faida kubwa ambayo mwishowe inawekwa ktk hard currency na kurudishwa.

Said sasa wewe umeweka wazo tunahitaji wataalamu wa uchumi nao waje na ujanja wa kuzipata hizi hela zilizojificha ktk hii reserve.Hapa panahitaji kuona mbali,si tuvutie hela ambayo mwishowa siku tunakuta tulifanyia tumbo.

Nadhani unaona hapo UK walivyoibana hela, ukipiga kazi hapo unapata hela ila mwisho wa siku unajikuta kila kitu kimeingia ktk sector za kiingereza na ziada ya kazi ngumu ndio unabaki nayo. Angalia unavyokuwa forced kutumia huduma zao na kulipa rents. Kile kiasi ulichoongezea nguvu za ziada ndicho kinabaki. Sasa sisi wabongo hatujaweza wabana wageni tunaowapa kazi za hela nyingi waziache hizo hela hapa waondoke na bidhaa au na starehe watakayoilipia hapa. Na hii ni rahisi kufanya kwa kutumia wachumi wetu.

idea ya informal sector inabid ikuzwe.Hata marekani kwa mra ya kwanza small companies na informal sector imeleta mapato yaliyowatisha.

sisi hatuna issue na malalamiko yasiokuwa na msingi.
sisi makafiri tuache tulipe kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi itumike kuwalipa mishahara mahakimu wa kadhi?
sisi makafiri tuuze nguruwe zetu hela hizo ziwalipie mahajimu wa kadhi
kwa hili CCM itajikuta imeumia kuliko inavyodhani
 
Hahahaaaa.......hii kamwe haiwezekani. Na majuzi tu kwa kulewa madaraka ccm na serikali wamemtuma sitta kutukana wakristo. Hakuna wa kukemea coz waanajua wanachofanya. Tutawashughulikia
 
Wanatuita makafir wakati tukienda kwenye maduka yao hawakatai kupokea pesa zetu!
Wanatuita makafiri wakati,wakiugua wanatibiwa kwenye mahospitali na madaktari makafir!
Wanatuita makafir wakati wanataka tuwaendeshee mahakama zao kwa kodi yetu!

Dini zenye mikono ya binadamu utaziona tu!

we maku nini? hakuna madaktari waislam?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom