Ninapenda niwasahihishe watu wote ambao wamekuwa wakiongelea suala la mahakama ya kadhi kwa mtazamo wa kwamba mahakama hii haipo inahitaji kuanzishwa na kuendeshwa. Huu ni upotoshaji unaowafanya wasiofuatilia ama wasiojua jambo hili kuona kwamba seriakli inawaonea waislam kwa kuwakataza kuanzisha na kuendesha mahakama yao ambayo kwao ni ibada.
Suala ni kwamba, mahakama ya kadhi ipo. Serikali ilishatoa kibali kwamba wanzishe na waihudumie wenyewe kama kitengo cha dini yao sawa na imani zingine zifanyazo. Mahakama hii ilishaanzishwa, na Mufti kwa mamlaka na imani yako, alishateua Makadhi wa Mikoa na wilaya na wanaendelea kufanya kazi. Angalieni hapa:-
1. Kwa mantiki hiyo, wote wanaoleta propaganda za kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi, ili kupata sympathy ya waislam kwamba wanawatetea eti kwa kunyimwa ruhusa ya kuanzisha mahakama yao, ni wapotoshaji naomba waache kufanya hivyo mara moja ili kumaliza huu mjdala wa kidini na wenye maslahi kwa kunid la waislam tu.
2. Ninaomba sasa tufocus hapa ili tupate uelewa wa pamoja. Mgogoro uliopo ni kwamba, waislam waliomba kadhi, wakaruhusiwa kuanzsisha kama sehemu yao ya ibada. Baada ya miaka kadhaa tangu waanzishe, bila clear reasons, sasa wamekuja na setp mpya ya kulazimisha hakama hiyo waloianzsiha ya dini yao na inayosimamia imani yao, IRASIMISHWE KWENYE KATIBA YA NCHI. Kabla ya kujadiliana, ninaomba jibu kwa swali lifuatalo:-
HIZI MAHAKAMA TANGU ZIREJESHWE NA KUANZA KUFANYA KAZI, ZIMEPATA MATATIZO GANI AMBAYO DAWA YAKE NI KADHI KUANDIKWA KWENYE KATIBA?
Ninaomba jibu. Huna jibu unakuwa msomaji..

Waislamu wapata Kadhi Mkuu
![]()
Masheikh wa Mikoa na wa Wilaya, wamemchagua Sheikh Abdallah Mnyaki, kuwa Kadhi Mkuu wa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara.
Kadhalika, Masheikh hao wamewachagua Masheikh Abubakar Zuberi pamoja na Alli Muhidini, kuwa wasaidizi wa Kadhi Mkuu.
Uchaguzi huo mjini hapa jana baada ya kumalizika kwa kikao cha siku mbili kilichowakutanisha Masheikh wa Mikoa na Wilaya kutoka Tanzania Bara.
Baada ya kuchaguliwa, Sheikh Mnyaki, aliwataka Waislamu kuwa na umoja pamoja na kushiriki zoezi la Sensa na kuwataka wapuuze kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na taasisi za Kiislamu.
Kwa upande wake, Sheikh Mkuu, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliwataka Masheikh kumpa ushirikiano Kadhi Mkuu ili aweze kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Alisema ushirikiano ndio nguzo itakayowezesha viongozi hao kutekeleza majukumu hayo mapya kwa kuzingatia misingi ya dini ya Kiislamu.
Kadhalika, kikao hicho kimewachagua Makadhi 14 wa mikoa mbalimbali kwa nia ya kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Kadhi.
Ilielezwa kwamba mchakato wa kuchagua makadhi wa mikoa mingine utafanyika hivi karibuni
Chanzo: Nipashe.