peri
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,579
- 1,168
Bilashaka mahakama ya kadhi pamoja na hukumuzake, inatakiwa kutambulika katika sheria za nchi ili hukumuzake zisiweze kupingwa katika mahakama za serikali endapo muhukumiwa atadhani kwamba ameonewa na kwenda kukata rufaa katika mahaka za serikali.
Vinginevyo maamuzi ya kadhi yatakuwa hayana nguvu na utekelezaji wake utasuasua.
Kwakuwa muhukumiwa kwa jeuri tu, anaweza kukaidi maamuzi ya kadhi na akaenda kukata rufaa katika mahakama za serikali,ili kubadilisha maamuzi ya kadhi.
Na kama unavyojua kwamba maamuzi ya kadhi ni tofauti na ya serikali. Kadhi ataamua shauri kutokana na maelekezo ya sheria za dini, na hakimu katika mahakama za serikali ataamua kutokana na sheria za nchi.
Nathani hii ndio sababu.
Kama kuna sababu nyingine ningependa iwekwe hapa ili tuendelee kuelimishana kwa hoja na sio matusi ama jejeli.
hawa makafiri woote humu Jf wanalijua hilo ila unafik wao wanadhani hatujaujua.
Hakuna muislam mwenye muda wa kupoteza kujibu hizi porojo.
MAKAFIRI MNASAHAU, WAISLAM WA LEO SIO WALE WA MIAKA KUMI ILIYOPITA. TUNAJUA UNAFIKI NA HILA ZENU NYIE WAGALATIA MSIO NA AKILI