Mbarouk123
New Member
- Jul 10, 2018
- 1
- 0
kupumua ndio mpangohakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..