GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Mkuuhakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
Ni kweli hakuna anae taka Muungano uvunjike, lakini kutokana na mfumo tulio nao ni lazima hivyo uvunjike, sio watu wachache tunao taka, asilimia 99 tunataka Zanzibar huru, hata hao muonao kwenye baraza la mapinduzi pia wanaunga mkono kuhusu hii case ya Muungano. Tutaona east Africa community, muungano mzuri sana, sio lazima huu wa Tanzania