MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
muungano wa tanzania..na ZANZIBAR? lini tanzania ilijiunga na NCHI TUKUFU YA ZANZIBARMUUNGANO WA TANZANIA NA ZANZIBAR NI WA MILELE YOTE WALAHI!
That’s all
muungano wa tanzania..na ZANZIBAR? lini tanzania ilijiunga na NCHI TUKUFU YA ZANZIBARMUUNGANO WA TANZANIA NA ZANZIBAR NI WA MILELE YOTE WALAHI!
That’s all
Mtasubiri mno na muungano haufi
We mwongo....Zanzibar iko china ila ni nchi ya viwanda na karafuu na iko sehem ya tanzania mpakani mwa kongo na south afrikaHuo si muungano ni MVAMIANO , HAKUNA MUUNGANO HAPO
Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar tarehe 12Januari 1964 , na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte pamoja na baraza lake la mawaziri na kuwapeleka kwenye magereza ya Tanganyika bila kuwafikisha mahakamani , hayo yametokea kabla huo uvamizi kupewa jina la muungano hapo Aprili 26 , 1964
We mwongo....Zanzibar iko china ila ni nchi ya viwanda na karafuu na iko sehem ya tanzania mpakani mwa kongo na south afrika
wataerewa tuUmekosea iko Kaffiristan
Ndugu wana jf ......kwa maoni yangu suala la muungano ni la viongozi na sio la wananchi.kwa mfano.....ukiwauliza hasa watanzania bara wengi nini faida au hasaraza muungano watakujibu "kivyaovyao" wanaotaka kuvunja muungano ni wanasiasa wanaotaka madaraka.tujihadhari nao kwani ni hatari.
Pambaneni tutaona mwisho wenuUvunjwe muungano kwani lini Tanganyika na Zanzibar ziliungana?? Huo si muungano Bali ni uvamizi. Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte pamoja na mawaziri wake na kuwafunga katika magereza ya Tanganyika bila kuwafikisha mahakamani ,kabla ya April 26, 1964 siku ambayo uvamizi ulipewa jina la muungano
Tunalo gogo tunalichanga polepole itafika siku litakatika panapo majaliwaPambaneni tutaona mwisho wenu
Sawa ila mnahtaj 1000 yrs i presumeTunalo gogo tunalichanga polepole itafika siku litakatika panapo majaliwa
Swali kwa gavan....taja sababu sita za kujiondoa kwa Zanzibar kwenye muungano
Sawa ila mnahtaj 1000 yrs i presume
Kwa hiyo karume hakukubali muungano au vpBado huelewi kuwa huo si muungano ???
Uvamizi ulipewa jina la muungano tarehe 26, Aprili 1964
Zanzibar imevamiwa Januari 12 , 1964 na Waziri mkuu na mawaziri wenzake wa Zanzibar wamekamatwa na kupelekwa kwenye majela ya Tanganyika Januari 1964 ,
KUNA MUUNGANO HAPO ??????
Hivi Iddi Amin alipoivamia kagera na kuichukua baadaye angelibadilisha jina Uganda akaiita Kaugandania ikiwemo kagera , wewe ungaliita huo ni muungano ??
Karume hakuvamiaKwa hiyo karume hakukubali muungano au vp
Uvunjwe muungano kwani lini Tanganyika na Zanzibar ziliungana?? Huo si muungano Bali ni uvamizi. Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte pamoja na mawaziri wake na kuwafunga katika magereza ya Tanganyika bila kuwafikisha mahakamani ,kabla ya April 26, 1964 siku ambayo uvamizi ulipewa jina la muungano
Ni muungano Wa kishirikina, hauna hasara wala faida, hauna ridhaa ya wananchi, tamaduni hazina mlingani, walio ubuni wamejifia, hauna uhalisia wa muungano, upo kichina kichina, wananchi wameuchoka........nyingine ongeza wewe kama huzioni nitakushangaaSwali kwa gavan....taja sababu sita za kujiondoa kwa Zanzibar kwenye muungano
Kurudi kwa mamlaka kamili ya zanzibarSwali kwa gavan....taja sababu sita za kujiondoa kwa Zanzibar kwenye muungano
Kumbe unajitambua ....maaana wengine huwa wanadhani tuKurudi kwa mamlaka kamili ya zanzibar
1. Uhamiaji
2. International relations
3. Current
4. Banks
5. Economic
6. Natural resources
7. Nationality
8. Politics
9. Tax
10
11.
12
13