Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

Ndugu zangu kwanza niwakumbushe kuwa hamna nchi inaitwa Tanzania bara. Pili, hao wanao sema kuwa Sultani atarudi ni watu wenye akili finyu. Tatu huu munao ita muungano hauna ridha ya wazanzibari. Naomba mwenye mkataba wa muungano atuletee tuuone. Pili, UN haina nakala kuthibitisha muungano huu. Baraza la mapinduzi halikuridhia muungano na pia waznzibari hawaja ridhia muungano.
 
Fitina ya wapemba tuu ! Fitina mlianza siku nyingi tuu kabla hata mapinduzi. Zanzibar ni mali ya Sultanate of Oman, kama kurudi irudishwe huko !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kama mzanzibari naona hasara tupu kuanzia identity/utambulisho hadi uchumi .... labda utuekeze hizo faida utujuze mkuu
Mlikuwa laki tatu, sasa mpo 1.8 mil. Visiwa havitanuki hivyo na huku bara tupo mil 55 na bado nchi tupu.
Mjue nje ya muungano huku bara unaweza kunyimwa hata viza. Hapo ndo utajua kwanini UK wanahangaika mpaka sasa na Brexit !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu ni mfuasi wa sultani seyyid Jamshid aliyepo uhamishoni uingereza, wametumwa, na ni wakuwashughulikia
 
Mwisho wa maamuzi yao huwa ni ushauri tu ambao unaweza kuchukuliwa au kupuuzwa, mahakama za Tanzania zinatosha kabisa
 

Mbona hutaji Vatican , kwani wakatoliki mko wangapi?? na ukubwa wa Vatikani uko vipi??
 

Wa kulipa ni wavamizi kutoka Tanganyika. Laanatullahi Nyerere aliivamia Zanzlbar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi na kumfunga katika jela za Tanganyika pamoja na Mawaziri wake bila kufikishwa mahakamani kabla hata huo uitwao Muungano haujafikiriwa April 26, 1964
 
Kwa wewe Mzanzibar? Mada hii hauwahusu Watanganyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…