Mmmh, kila siku huku kwetu Buguruni vibaka wanauliwa na wananchi wente hasira, hawapewi nafasi ya kusikilizwa. Hata magaidi wa Afghanistan waliuliwa na special forces za Obama passport kupewa haki ya kusikilizwa, ila jana wangepewa nafasi wangeliua zaidi, na huyu angetukana zaidi. Sie tunamsubiri uraiani tuone kama kashika adabu.Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .
Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki
Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?
View attachment 1825533
kakanusha nini ?Amekanusha...
Huko aliko malaika watakuwa wanapata tabu sana...
Mamlaka ya kupindisha katiba yenyewe au mamlaka gani?katiba inayomnyima rais mamlaka haipo duniani.
Kama kuhire temporarily si ndo hicho kinachofanyika kwa hao wakurugenzi. Kuhusu Staff waTAKUKURU unasemaje hawaproduce? Unajua majukumu yao? Na polisi na jeshi utasemaje? Nadhani huna hoja kwenye hili, unafuata tu upepo wa wanasiasa.Tumesema key staff. Wengine wanakuwa hired temporarily as per needs. Hizo ndizo gharama za demokrasia
Mbona tumejaza staff wa TAKUKURU Nchi nzima na wengi wao hawaproduce chochote?
Wanaosema hivo ni makada wa ccm waliokosa vyeoWatanzania mimi nashindwa kuwaelewa si mnasema Mama mbaya hafai?
Eleazar Feleshi ndiye aliyekuwa anaandika Hukumu zote ambazo Mahakimu wa Kisutu akina Thomas Simba na Shahidi walikuwa wanawatwanga CHADEMA.Mama afutilie mbali hiyo Feleshi. Sukumagang wahedi kabisa
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .
Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki
Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?
View attachment 1825533
Kama mada ni uwakili inatosha na imeelewekaHivi ni
Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume
Au ni
Mahakama Kuu yatengua hukumu DHIDI ya kuvuliwa Uwakili Fatuma Karume?
Ni dhidi ya "hukumu ya kutenguliwa uwakili" au ni dhidi ya "Fatma Karume"? Which is which?
Naona sasa nchi imeanza kurejea kwenye haki baada ya dikteta mkuu aliyekua anaamuru dhuluma kama hizi ziendelee kuondoka duniani. Kesi ya Fatma Karume haikuwa kesi bali ni ushuzy tu uliotekelezwa na wahuni wachache kwa maelekezo ya dikteta mkuu. Mungu anamuona huko aliko.Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .
Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki
Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?
View attachment 1825533
Hayati alikuwa ni zaidi ya LUCIFER aliyejivika ngozi ya kondoo na ucha Mungu feki huku akimtumikia shetani kwa nguvu zake zote.Na utasikia mpuuzi mmoja akidemka huku kabinua makalio eti Hayati alikuwa mcha Mungu mtu wa haki
Yaani hii nchi miaka 5 tulikuwa jehanamu. Yaani Mungu tunaomba unguza lile Jamaa mpaka na majibu yake unguza tena na tena. Mungu ni fundi mzuri sanaEleazar Feleshi ndiye aliyekuwa anaandika Hukumu zote ambazo Mahakimu wa Kisutu akina Thomas Simba na Shahidi walikuwa wanawatwanga CHADEMA.
Mfano ile kesi ya kuuawa Akwilina
SwadaktaaaHahahahaa kwaiyo tuishukuru Corona ety
Ni bahati yake amekufa wakati CCM iko madarakani. Laiti kama angekufa CCM imetoka madarakani, tungemfanyizia kama Samuel Doe wa Liberia.Hivi kwanini tusingemzika kama Saddam Hussein? Tungetupa kusikojulikana
Cheo hiki kiondolewe, ndivyo wasema⁉️Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo
Karibu 2026Magufuli aliiharibu sana hii nchi.
Yametimia!!Hizi ni dalili njema sana. Pongezi zangu zimfikie Mama.
Pia ninaimani hata Mdude atarudi kitaa wiki ijayo.
Mahakama ilitumika vibaya na JPM.
We malaika, tukutane 2026Hayati na genge lake walikuwa ni mashetani kabisa.