Mahakama kuu Arusha yamvua ubunge Onesmo Ole Nangole (CHADEMA), yaamuru uchaguzi urudiwe

Agizo liliishatoka kuwa mahakimu na Majaji wahakikishe Serikali na CCM haishindwi kesi yeyote hivyo huo ni utekelezaji wa Agizo la kauli ya yule.
Mnaposhinda case agizo hutoka wapi?
 
NAFIKIRI BADO UKO MBUGANI NJOO MJINI UTAONA UKWELI
Unajipa matumaini ya kuvuka bahari kwa miguu , pole sana mkuu ..na Lema c aliwakalisha huko huko arusha ? naye mlijipa matumaini ya kwenda unguja kwa miguu je, mlifika?
 
Hizi "sababu" CCM walizozitoa hapa kwenye case hii, na zile alizozitoa Kafulila kwenye ile case yake, zipi ni nzito za kusababisha matokeo yafutwe?
 
Mimi ni CCM ila kwa Arusha hata uchaguzi urudiwe mara ngapi hatuwezi kumshinda Chadema.. Tena ndio mkoa wa Lowassa hata iweje CCM hatushindi..

Huyi Jaji kapoteza fedha zetu bure kwa kitu ambacho kiko wazi

Mnafiki hana tofaut na mbwa koko......mimi ni ccm na daima nitaamin ktk kushinda sio kushindwa
 
Nasikia wanarudisha jimbo la Longido huko Dodoma ili kura zipigwe huko CCM washinde....LOL!
 
Kwakuwa Mbinu Hii Ya Kutengua Matokeo Ya Uchaguzi imefanya Kazi Zanzibar Kwa 100%, Wanahisi Ndiyo Njia Mbadala Ya Kubaka Demokrasia??
 
NASHAURI YAFUATAYOO

OLE ASIKATE RUFAAA ANAPOTEZA HELA ZAKE
CHADEMA WAPELEKE TIMUYA KULINDA KURA NA WAHAKIKISHIA

CCM KULE WATAPATA MWENYEKITI WA SERK ZA MITAA NAKUSHUKA CHINI

KUNA SEHEMU ZA KUPAMBANA NA CCM SIO HUKOO..HATAWAO WANAJUA HILOO
 
Jukwaa limejileta lenyewe..
Ukizingatia ccm haina ubavu katika aneo hilo..
Watu wana hasira ya kukosa kuona bunge lao moja kwa moja..
Watu sukari ya shida..

Mikutano ya kampeni inaweza ikaanza asubuhi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…