Mahakama kuu Arusha yamvua ubunge Onesmo Ole Nangole (CHADEMA), yaamuru uchaguzi urudiwe

Kimsingi Lowassa ameiletea CHADEMA Mbunge mmoja tu wa Monduli. Ajitahidi sasa kwenye marudio amrudishe huyo wa Longido.
 
Ndiye yeye
Mbowe ni bure kabisa,hata screening alishindwa kufanya kwa wagombea wake!
wee mbowe alikufanya nn? mbona hakukauki mdomoni? ongea vitu vya msingi ww ..malafyale gani hujitambui? Uko huko Act lkn ya chadema bado yanakuwasha..kulikoni ?
 
Back
Top Bottom