Mahakama kanda ya Arusha yakubali kupokea taarifa ya CCTV camera toka Benki ya CRDB kwenye kesi ya uhujumu Uchumi ya Ole Sabaya

Hivi sabaya ilikuaje akaupata ukuu wa wilaya,naona mambo yake alikua anayafanya kishamba sana?
Wateule wa Magufuli walifanana naye kitabia. Na yeye aliwapenda upeo kama huyu Sabaya. Kama ya Sabaya yanakushangaza mbona ya Magufuli hayakushangazi?
 
Hivi sabaya ilikuaje akaupata ukuu wa wilaya,naona mambo yake alikua anayafanya kishamba sana?
Hii ni namna teuzi za hovyo zinavyojidhihirisha
Aliyemteua alidai ni mchapakazi!! Kwa jicho la mbali naona kesi ya Mbowe ikikosa mashiko! Huwezi ukakaa karibu na jambazi bila kujihami kwa njia zozote zile.
 
Yani sabaya na hao wapambe wake hawana akili kabisa... unafanyaje uporaji kama huo nje ya benki, mahali ambapo unajua kuna cctv cameras zinamulika wakati wote!!

Yale machozi aliyotoa mwenye msiba wa jiwe yalikuwa na sababu kubwa sana,
alijua kinga yake imeondoka na hakuna atakayemtetea kwenye haya maupuuzi yake aliyofanya....
Mamlaka mkuu,so ilikuwa ni kama halali kwao kufanya hivo
 
CCM inataka kumfungga huyu jamaa miaka mingapi kwani? Si wamwache hiyo 30 inamtosha!!

Vijana wa CCM mlioko madarakani nafikiri hili funzo la kuona kwa macho yenu limewafaa sana, kuweni makini matumizi kwa mamlaka mliyopewa.
 
Mahakama kanda ya Arusha jumatano oktoba 27, 2021 imekubali kupokea kielelezo namba 4 kama ushahidi toka kwa Afisa tehema wa CRDB tawi la kwa Mrombo bwana Geoffrey Abimiel Nko ambaye ni shahidi namba saba wa Jamuhuri Katika kesi ya uhujumu Uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya

Francis Mrosso analalamika kuwa aliporwa pesa zake alizotoa toka Bank ya CRDB tawi la kwa Mrombo huku wasaidizi wa Sabaya walisubiri mzigo huo wa pesa hapo Bank

Hakimu mkazi wa kanda ya Arusha Bwana Kisinda alipinga pingamiza lililoletwa na upande wa utetezi wa Sabaya kuwa halina mashiko, Ambapo wakili wa Sabaya aliomba mahakama taarifa ya CCTV isitumike mahakamani kwa kuwa haina ubora na inaonyesha picha hafifu

CCTV camera hiyo ilichukuliwa January 22 mwaka huu kuanzia 4:09 jioni mpaka saa 5:05 jioni ikionyesha Vijana wa Sabaya wakizikwapua pesa toka kwa Bwana Francis Mrosso hapo kwa Mrombo tawi la CRDB
Mahakama imaekana kupokea ushahidi wa CCTV unaomwonesha Sabaya akiingia au kuvamia benki ya CRDB kama ilivyoripotiwa na wewe sijui umetoa wapi taarifa hizi? Uandishi uchwara
 
Ukitaka kupima akili fupi za watu hapa utaona wakimshambulia Sabaya.

Sabaya alikuwa ni mkono wa kulia wa Bwana Chato.Kumshambulia Sabaya bila kumhusisha Bwana Chato ni akili fupi.
Wewe meko angekuambia umbake mamako ungefanya hivyo?
 
Wewe meko angekuambia umbake mamako ungefanya hivyo?
Hujaelewa hata nilichoandika hapo.Sijasema wala sijamaanisha kuwa kwa kuwa Sabaya alitumwa na Bwana Chato basi Sabaya hana hatia.Jitahidi kuelewa maana ya neno 'kuhusisha'.
 
Ina maana hizi taarifa za matendo ya Sabaya hazikuwa zinafika kwa Mwendazake?...au zilifika akaamua kukaa kimya?.
 
Hivi sabaya ilikuaje akaupata ukuu wa wilaya, naona mambo yake alikua anayafanya kishamba sana?
Aliipata kwa kuteuliwa. Sasa jiulize kama mteuliwa alikua anatenda haya je mteuaji ilikuwaje. Kuna mengi watayafunika sasa hivi ila kama dunia itaendelea kudumu kuna siku hatutaamini masikio yetu. Nchi ilipitia kipindi kigumu sana
 
Inawezekana madhambi yaliyofanywa na wasaidizi wa JPM kama hakina Sabaya yalimkasirisha Mungu akahamua kupunguza miaka ya kuishi ya JPM.
 
Hata mimi ningeukwaa udc nisingefanya mambo kama hayo, pesa ningekuwa napiga kiakili na najua mpaka sahv ningekuwa na bln hata 50

Ova

DC kupiga hela nyingi Kama hizo si rahisi lazima uhumize watu na lazima walalamike labda uwe DC wa wilaya zenye mabiashara makubwa Kama ilala,temeke au kinondoni .
Ukalielie kwa hao matajiri wakupe ila sio kwa kulazimisha .
Ukilazimisha Kama hao kina sabaya na makonda lazima walalamike tu na kukuharibia
 
Back
Top Bottom