Mahakama isimuite Lissu mahakamani hadi Uchaguzi uishe

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
Huyu Lissu asiitwe mahakamani kipindi hichi cha kampeni, Uchaguzi ukiisha ataleta visingizio hakupata muda wa kampeni ndio maana ameshindwa Uchaguzi.

Wamwache aende kila jimbo aropoke yote ili moyo wake upate amani. Baada ya kipigo Oktoba ndio arudi kwenye vimeo vyake.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
baada ya kila figisu kufeli naona mnaanza kubadili gia angani
 
Tumemwacha aropoke yote hadi October 28 baada ya hapo ataanza kuonja tamu chungu

Hujiulizi hakuna anayehangaika kumjibu ? Kimya kikuu kina kishindo
comrade, Lissu ndiyo sasa anatoa majibu ya tambo za miaka 5 ya MATAGA na kiongozi wao.

Lissu kawapiga bumbuwazi MATAGA kwani kwanza hawakuamini jamaa angerejea nchini na pili angeweza kutoa majibu ya tambo zao this comprehensively.

MATAGA wamerudi kwenye drawing board ili kutunga kiki nyingine fake - Lissu anawasubiri, Watanzania wanasubiri kumsikiliza Lissu.

mimi ni CCM by the way lakini si MATAGA.

habari ndiyo hiyo!
 
Mbona huimbi tena kuwa CDM imekufa? Nini kimekutisha ghafla? Lissu kakutoa mafichoniaada ya kuona hali mbaya! Mwaka huu mtatembea na chupi vichwani!
 
Huyo mropokaji afanyiwe figisu na nani?

Angeweza kuzuiawa kizimbani hadi mwakani na hakuna hata nzi angeleta fyoko fyoko

Na akileta ujinga hata kesho ataenda lupango

Yeye ni sawa na maji yasio kuwa na mwelekeo
Mataga mnaweweseka Sana,mtaokota makopo mwaka hui!
 
Mwambieni mgombea wenu ajiulze mbona anaropoka lkn hakuna mwenye muda na yeye
October msije mkakimbia hilo zigo lenu

Baada ya kipigo ndio ajiandae kuzekea chemba za mahakamani
subirini kampeni zianze. MATAGA mtatafuta mapango ya kujificha hamtayaona!
 
Chadema ife marangapi? Au unadhani wale wahuni wa stend wanaoenda kumshangaa anavyorusha kimguu ndio Chadema ipo hai?
Imewauma sana kuona Lissu anavyopendwa na watanzania! Mpaka wewe umerudishwa field kusaidia kuleta porojo kupunguza matá-lo ya nyuzi za Lissu JF basi mko vibaya! Angalieni Mataga msijetembea na chupi vichwani msimu huu!
 
Back
Top Bottom