Mahakama inapotumiwa hoja zinaposhindwa kujibiwa

CCM TUMEWAZOEA AKILI NDOGO KUONGZA AKILI KUBWA NDIO MAANA MNAHANGAHIKA MNAUA WATU ALAFU MNATAFUTA MCHAWI POLENI SANA MAWALIMBOKAQUOTE=zomba;4252763]Vipi, unataka kunitia mzinga?[/QUOTE]
 
CCM IKO KITANDANI INASUBIRI KUKATA ROHOQUOTE=zomba;4252763]Vipi, unataka kunitia mzinga?[/QUOTE]
 
​mnaanza viroja vya kuua wanchama wenu mkikosa hoja poleni sana tumewashika pabaya
 
Mahakama zote zinagharamiwa na serikali pamoja na hao polisi, kwahio ule utaratibu wa kufanya kazi zake kwa uhuru haupo.

Hivyo basi majaji na mahakimu na wanasheria wa serikali bado wanaweza kuitwa kwa kikao cha dharura wakati wowote kusikiliza maagizo na mojawapo ni agizo la namna ya kudhibiti mgomo wa madaktari.

Hii inaeleweka duniani kote kwenye ukandamizaji na ni mpaka pale watu yawakute kama Hosni Mubarak aliposhangaa kwamba kumbe mahakama ileile ambayo ilikuwa ikifuata maagizo yake ilikuja kumhukumu akafie jela.
 
Hata CHADEMA wanalipwa na Serikali au ulikuwa hujui?
 
Hata CHADEMA wanalipwa na Serikali au ulikuwa hujui?

Mkuu hii ya CHADEMA si mshahara, ni ruzuku, vyombo hivi zinagharamiwa kila kitu magari, ofisi, mishahara, mavazi, na vingine.

Halafu si tunajadili kuhusu mahakama na udhaifu wake ama?

Tuendelee tu kujadili huu ubovu wa hivi vyombo vya serikali.
 
Unachosema ni kweli kabisa....hofu yangu bado hatuna pakuanzia au ujasiri wakuleta hayo mabadiliko.
Pakuanzia? how so? in circumstancial evidence so far guilt points to the government

Job 27:12 Behold, all of you
have seen it yourselves; why
then have you become
altogether vain?
 
Ulitaka wakuletee wewe hizo hoja wanazoshindwa? Mahakama ziliwekwa za nini kama si kuchambuwa hoja kisheria?

Wacha ufataani mtoto wa kiume hupendezi.
Unasemaje ile ya Kova kujikanganya mwenyewe? Amesema si busara kujadili suala ambalo lipo mahakamani wakati huo huo anasema mtuhumiwa ana kichaa cha muda kwa muda

Hata polisi kuruta anafundishwa kwamba kipolisi mtuhumiwa anachukuliwa kama ni akili timamu mpaka ambapo upande wa utetezi utakavyothibitisha vinginevyo(presumption of sanity)

Mimi naona hapo DCP Kova anaingilia uhuru wa mahakama kama ya Kikwete kusema serikali haihusiki, na Chagonja kumkingia kifua Msangi
 
Wacha uongo hupendezi, nimemsikia Komba akisema, si yeye wakusema kama ana kichaa, ni daktari atakaesema kama ana kichaa au kichaa cha muda "temporary insanity". Kwanini huwa mnapenda kujidanganya? mnampa nani faida kwa kuzuwa kwenu?
 
Back
Top Bottom