MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa Arusha imetoa uamuzi mdogo wa zuio la muda dhidi ya mikutano ya Chadema kuwasema hadharani madiwani watano wa chama hicho waliotimuliwa.
Mahakama hiyo pia imesema hata kama Chadema itapata kibali cha kuhutubia kihakikishe suala la madiwani hao halizungumzwi wala kuzomewa, kuwatolea lugha chafu na za vitisho wakati huu ambao hapo kesi ya msingi imefunguliwa.
Source: HabariLeo
Wasifikiri wananchi wajinga kiasi hicho wanaona kila move tena wakifanya hivyo itakuwa rahisi sana kufanya kampeni, unajua uzuri wa kampeni ya upinzani ni kupata cha kulalamika kama huna cha kulalamika kampeni inakuwa ngumu sana kwa hili hata Dr Slaa ataniunga mkono, hao madiwani wa CHACCM wamebugi step walitakiwa hii move waifanye kimya kimya halafu wangeiibua mwaka unaosema 2014 wakati washaivuruga CDM Arusha sasa hawawezi tena.Malengo ya madiwani husika ni kuwa wafungue kesi ya kupinga maamzi ya CC ya chadema ili ichukue mda mrefu kupatikana ufumbuzi mpaka kufika angalau 2014 hapo inamana kata husika hazitakuwa na maendeleo ili Lema na CHADEMA wasifurukute mwaka 2015 kwasababu hawatakuwa na cha kujivunia kwenye kata husika..CCM kwasasa adui yao ni mkubwa ni Lema hivyo wanajua wakimzoofisha hakuna wa kuwasumbua 2015 hivyo Malla, Bayo, Rehema, Charles na Mpinga ni vifaa vinavyotumika kumwangusha Lema na CHADEMA wasitekeleze ahadi zao...
Kwani lazima kila thread uchangie?Ama kweli wewe kichwa cha masaburi, hakimu atoe tamko la umeme? si mpelekee kesi.
Wanataka talaka ichanwe mbele ya shehe mme bado wanampenda.kesi ya msingi ni nini?
Shule za katawtoe tamko kuhusu waliotuletea mgao wa umeme pia.. wasiishie hapa
Shule za kata at worksometimes unajiuliza hawa maakimu wengine ni nani hivi anayewapa uhakimu kwa maana wamefikia mahala mpaka ku control speech.
nani amekupa mamlaka ya kuzuia watu wasitoe maoni yao kwa kuwaambia nini wasizungumze na nini wazungumze ktk kutoa maoni yao ??
hakimu/polisi siku zote inapojiingiza ktk kuwaamulia watu kitu cha kuzungumza au kuwakataza watu kwa kusema maoni haya ni mabaya au haya ni mazuri inajiingiza ktk kazi ambayo hiko juu ya uwezo wao kwani maoni hayo yanaweza kuwa mabaya au mazuri kutegemea mtu na mtu hii ni sawa mahakama kutuchagulia mwanamke mwenye sura ya aina gani ni mzuri au mbaya??
Shule za kata at workHaruna rais, hatuna mawaziri, hatuna serikali. Hii nchi ni f. up kabisa. Nauliza kwa nini kwanza waitwe madiwani? CDM inawaona hao ni watu tu wa kawaida kwani ilishawanyang'anya kadi. Kama wanan'gang'ania wao ni madiwani basi wanapokuwa katika vikao vya Baraza la Madiwani wataje wao wako humo kwa tiketi ya chama gani? Hawa watu ni wajinga kabisa kwenda mahakamani kwa kesi kama hii -- wanataka kitu gani? Ni bora tangu sasa mahakama zitangaze basi kwamba kama chama kinataka kumfukuza mnwanachama wake basi kiende mahakamani kufanikisha hilo -- yaani namna ya kufukuza kihalali ili kusiwepo migogoro. Shit!
Elimu yake kama ya yule mwizi wa magarihuyo hakimu ana elimu kiasi gani?