Mahafali ya Chuo cha Uandishi Dar na rangi za bendera ya CHADEMA

Tatizo lako ni nini, Kuna Sheria Inazuia Kufanya hivyo?... Kafungue Jalada Polisi/Mahakamani, Mimi ni Mmoja wa Wahitimu Chuoni hapo... Kwa taarifa Sisi Wahitimu ndo 2liotoa pendekezo la Uongozi Kuupamba Ukumbi wetu Kama ilivyo Bendera ya CHADEMA Ok, Kwa Sababu sisi ni Wasomi hivyo hatuna Muda wa Kuburuzwa na Sera zilizopitwa na Wakati,.. Mfano: hata 2megraduate... cha Kustaajabisha Wahitimu mpaka Kupata ajira Miaka zaidi ya Mitano mpaka Kumi... huku Ukihoji kuhusu Swala la ajira Wanakuuliza Kuwa Una Elimu gani... Ukiwapa Udhibitisho wa Vyeti, mara Unaambiwa Oooh! Sera ya ajira Inafanyiwa Marekebisho 2taanza Kutoa ajira Mwaka Kesho!... Shem On you Wahusika Mnadhani sie Mapimbi Etiee... Subirini Mwaka Kesho... Najiamini na Kile ninachokisema. Naitwa: CHITAWALA DANFORD 0752936021 natokea MTWARA.


kwanza cha kwanza sahau kabisa kupata ajira hata kama Chadema wataingia huko unakodhania wanapaswa kuwa, pili umeenda shule kupata elimu au kuajiriwa?..ujinga huu hatuutaki mnajifanya mwataka mabadiliko ilihali ufikiri na maono yenu yangali yako chini, eti miaka zaidi ya mitano hadi kumi hivi huu unawaza nini wewe?..
 
Back
Top Bottom