Mahafali ya Chuo cha Uandishi Dar na rangi za bendera ya CHADEMA

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,782
5,204
DSJ04.JPG Hii imekaaje kuweka mapambo ya rangi za CHADEMA, Hapa Mkuu wa Chuo amekalia kuti kavu
 
Daah! Kweli mzee.. Au ndio chama twawala?

Kama ni chuo cha uma, kesho utaskia mkuu wa chuo kastaafu au kapangiwa kazi nyingine!
 
Tatizo lako ni nini, Kuna Sheria Inazuia Kufanya hivyo?... Kafungue Jalada Polisi/Mahakamani, Mimi ni Mmoja wa Wahitimu Chuoni hapo... Kwa taarifa Sisi Wahitimu ndo 2liotoa pendekezo la Uongozi Kuupamba Ukumbi wetu Kama ilivyo Bendera ya CHADEMA Ok, Kwa Sababu sisi ni Wasomi hivyo hatuna Muda wa Kuburuzwa na Sera zilizopitwa na Wakati,.. Mfano: hata 2megraduate... cha Kustaajabisha Wahitimu mpaka Kupata ajira Miaka zaidi ya Mitano mpaka Kumi... huku Ukihoji kuhusu Swala la ajira Wanakuuliza Kuwa Una Elimu gani... Ukiwapa Udhibitisho wa Vyeti, mara Unaambiwa Oooh! Sera ya ajira Inafanyiwa Marekebisho 2taanza Kutoa ajira Mwaka Kesho!... Shem On you Wahusika Mnadhani sie Mapimbi Etiee... Subirini Mwaka Kesho... Najiamini na Kile ninachokisema. Naitwa: CHITAWALA DANFORD 0752936021 natokea MTWARA.
 
Take it easy mkuu
 
Kwa hiyo cdm wakishika nchi watakuajiri... We kilaza kweeli hata elimu yako haikusaidii kitu.
 
Rangi ni rangi tuu..ni wapi imeandikwa kwamba blue..nyekundu ni ya chadema milele.??, na njano na kijani ni za ccm milele.mbona cuf nao rangi yao ni km ya chadema

.acha umburura rangi zipo tangu babu yako hajazaliwa....
 
Tatizo lako ni nini, Kuna Sheria Inazuia Kufanya hivyo?... Kafungue Jalada Polisi/Mahakamani, Mimi ni Mmoja wa Wahitimu Chuoni hapo... Kwa taarifa Sisi Wahitimu ndo 2liotoa pendekezo la Uongozi Kuupamba Ukumbi wetu Kama ilivyo Bendera ya CHADEMA Ok, Kwa Sababu sisi ni Wasomi hivyo hatuna Muda wa Kuburuzwa na Sera zilizopitwa na Wakati,.. Mfano: hata 2megraduate... cha Kustaajabisha Wahitimu mpaka Kupata ajira Miaka zaidi ya Mitano mpaka Kumi... huku Ukihoji kuhusu Swala la ajira Wanakuuliza Kuwa Una Elimu gani... Ukiwapa Udhibitisho wa Vyeti, mara Unaambiwa Oooh! Sera ya ajira Inafanyiwa Marekebisho 2taanza Kutoa ajira Mwaka Kesho!... Shem On you Wahusika Mnadhani sie Mapimbi Etiee... Subirini Mwaka Kesho... Najiamini na Kile ninachokisema. Naitwa: CHITAWALA DANFORD 0752936021 natokea MTWARA.

Umepaniki braza..
 
ni coincidence tuu..hembu tuangalie zangi zao ktk nembo zao.Inaweza kuwa ni combination imefanana tuu.Kwa CCM inakuwa mbaya sana kwani,,,ktk mechi kali timu dhaifu huona kila kitu kipo agianst wao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom