Mahaba yangu na house girl...

Mahaba yangu na house girl...

Bado unakaa na mama, baba na dada zako halafu unatuambia uzoefu wa kutofautisha hausi girl na mke!

Ukija kuoa hausi geri akawa mke mkaajiri hausigeri naye utamuoa na kumwacha mke wa kwanza, mkiajiri hausi geri mwingine utamuoa na kumwacha mke aliyekuwa hausi geri, trendi itaendelea mpaka utakapokufa.

Hyo ni experience niliyopitia,sikai kwa wazazi tena....hayo mengine ni maoni yako binafsi,thnx though..
 
We akili huna na wewe fc libolo yako inanukia harufu gani unajisikia lakini au unajiona unayoyandika humu kweli kujadili kuhusu mapenzi ndo hivi we wawapi usikute unanuka na unatoa ukoko usipende kuponda wanawake mwehu wewe.
Afanalek wadada naomba mpunguze jazba kiduchu khaa
 
Japokuwa watu wengi uwadharau na kuwaweka daraja la chini sana dada zetu wa nyumbani,kwa kuwaona wachafu,washamba na watu wasio na thamani, kwangu mimi ni tofauti sana,kwani tangu nianze kujihusisha na mapenzi na wadada wa kazi nimekuwa niki enjoy sana tofauti na hawa masista duu,nikiri nimeshiriki mapenzi na wadada wengi kidogo,na kitu ambacho kimenivutia au kuni hamasisha kuwapenda ni hulka yao,wadada wengi ni wakarimu,wanajua kunyenyekea kitu ambacho napenda sana mwanamke awe nacho,afu hawanaga dharau,pengine hawana gharama sana(hii sina uhakika sana),wanajua kujituma.kila siku om nimekuwa niligombana na mama au dada zangu nikiwakuta wanawagombeza dada wa kazi mda mwingine uwa najifungia chumbani nalia mwenyewe,kwa kweli naumia sana mtu akiwanyanyasa hawa watu,hii ni kwa upande wangu kutokana na experience niliyopitia,inawezekana unaowajua wewe wasiwe na sifa kama zangu ila ndo ivo kwa mimi,house girls wanajua ku care pengine kuliko hata wamama wenye nyumba na ndio maana wanaume wengi hujihusisha na mapenzi na wadada hao though inaweza kuwa tamaa but wanaume tunapenda mwanamke atujali na kututunza kama watoto,utakuta mama anamwachia dada kazi zote hadi nguo za ndani za mume wake sasa apo usipinduliwe mchezo??,mimi nawapenda sana wadada wa kazi,sitaona tatizo kuja kuoa mmoja wao,maana dada zetu hawa wa samsung galaxy wana dharau,kujiona wapo juu na kila aina ya ivo vitu,so nawakubali sana dada wa nyumbani

Hatukatai kuwa nao ni binadamu tena ni nice lovers.........but mpaka wewe ulie hapo kuna tatizo. Mie ninawaheshimu sana hawa wasichana wa kazi kwa sababu ninajua ni positions tu za kimaisha ndizo zinazotutofautisha but ninaamini pia kuwa siku ukiwatunuku na kuwapandisha cheo cha kuwa mke wako au nyumba ndogo ni wazi naye ata-aquire tabia za kimjinimjini. Ni wachache sana wanaoweza kumaintain uhalisia wao wa kuwa watulivu na wenye adabu. Usicheze na promo ndugu yangu
 
wanaume wengine jamani majangaaa....mngetozwa hata kodi mshindwe kuishi mtoweke wenyewe
mwanaume unakosa busara?

Smile smile smile ..........nani kakosa busara hapa, kwani HG hawapaswi kupendwa na kutongozwa????? waliokosa busara ni nyie kina mama mnaowanyanyasa na kuwanyanyapaa hawa wadada na kuwafanya ka punda kiasi kwamba hata kazi zingine ambazo mnatakiwa kuzifanya hamzifanyi mnawaaachia wao.

Sisi wanaume tukiwapenda. kuwathamini, kuwajali na kuwatimizia haki yao ya msingi ya kupendwa na kugegedwa tunakuwa hatuna busara. Hapa ambaye hana busara ni mdada/mmama mwenye nyumba ambaye anashindwa kutimiza majukumu yake na kusukumizia kila kitu House Girl.

Nakumbuka hata Chuoni enzi tunasoma, wadada waliokuwa wanatupikia vyumbani kwetu walikuwa wanatujali sana wakati wa boom hata boom linapokuwa limekwisha, ila zile tulizokuwa tunaziita BOND wakati wa boom mambo safi, boom likiisha nao wanakuwa busy.

Nasema wadada wa kazi a.k.a House girl wako JUUUU na wapendwe kama wanawake wengine
 
.kila siku om nimekuwa niligombana na mama au dada zangu nikiwakuta wanawagombeza dada wa kazi mda mwingine uwa najifungia chumbani nalia mwenyewe,kwa kweli naumia sana mtu akiwanyanyasa hawa watu,i

well.... how old are you?
 
wanaume wengine jamani majangaaa....mngetozwa hata kodi mshindwe kuishi mtoweke wenyewe
mwanaume unakosa busara?

busara ndio nini?au mtu kueleza kile anachokipenda ambacho kipo tofauti na wewe unavyofikiri ndio kukosa busara?
 
Japokuwa watu wengi uwadharau na kuwaweka daraja la chini sana dada zetu wa nyumbani,kwa kuwaona wachafu,washamba na watu wasio na thamani, kwangu mimi ni tofauti sana,kwani tangu nianze kujihusisha na mapenzi na wadada wa kazi nimekuwa niki enjoy sana tofauti na hawa masista duu,nikiri nimeshiriki mapenzi na wadada wengi kidogo,na kitu ambacho kimenivutia au kuni hamasisha kuwapenda ni hulka yao,wadada wengi ni wakarimu,wanajua kunyenyekea kitu ambacho napenda sana mwanamke awe nacho,afu hawanaga dharau,pengine hawana gharama sana(hii sina uhakika sana),wanajua kujituma.kila siku om nimekuwa niligombana na mama au dada zangu nikiwakuta wanawagombeza dada wa kazi mda mwingine uwa najifungia chumbani nalia mwenyewe,kwa kweli naumia sana mtu akiwanyanyasa hawa watu,hii ni kwa upande wangu kutokana na experience niliyopitia,inawezekana unaowajua wewe wasiwe na sifa kama zangu ila ndo ivo kwa mimi,house girls wanajua ku care pengine kuliko hata wamama wenye nyumba na ndio maana wanaume wengi hujihusisha na mapenzi na wadada hao though inaweza kuwa tamaa but wanaume tunapenda mwanamke atujali na kututunza kama watoto,utakuta mama anamwachia dada kazi zote hadi nguo za ndani za mume wake sasa apo usipinduliwe mchezo??,mimi nawapenda sana wadada wa kazi,sitaona tatizo kuja kuoa mmoja wao,maana dada zetu hawa wa samsung galaxy wana dharau,kujiona wapo juu na kila aina ya ivo vitu,so nawakubali sana dada wa nyumbani

Wew inaonesha hat shule hujaenda..Unajitetea visivyoeleweka..Na unapenda vya rahis na kukimbia majukumu..Pia isitoshe huna vgezo vya kuaproach wadada ndo maan unaonea waschan wa kazi..Umeongea pumba..Ma self mim ni mama na napenda san mdada anavyoishi na mwanangu na nampenda pia..But sio utudanganye kuhus mapenz.
 
Mkuu hapo umegusa penyewe hata ukiona povu jingi usishangae ujue tu.... Ukiona manyoya ujue kaliwa, i mean ujumbe umefika kwa walengwa #ipad .
 
Wew inaonesha hat shule hujaenda..Unajitetea visivyoeleweka..Na unapenda vya rahis na kukimbia majukumu..Pia isitoshe huna vgezo vya kuaproach wadada ndo maan unaonea waschan wa kazi..Umeongea pumba..Ma self mim ni mama na napenda san mdada anavyoishi na mwanangu na nampenda pia..But sio utudanganye kuhus mapenz.

Ndo maana nikasema hiyo ni tathmini kwa upande wangu,kila mtu ana haki ya kuishi maisha anayoyataka,sidhani kama unayosema is so logic according to ma thread...
 
Naungana na wewe kuwa wadada wa kizazi hiki cha "TOUCH SCREEN" wanazingua sana katika mahusiano lakini kuwa na Housegirl kama housegirl itaniwia vigumu kidogo kutekeleza hilo!
 
Wewe una matatizo, unapenda kuwadominate watu ili ujihakikishie 'ukuu' wako ndio maana unakuwa attracted na watu wanyonge ambao wanakuona wewe as kumungu kadogo.
Usipojiangalia, utahamia kwa minors na vikongwe. Nenda kapate maombi ili uwe man enough kupambana na changamoto za maduu.

Hapo kwenye red wala sio mda mrefu. Hebu mfundisheni huyu mtoto jamani ashapotea huyu, hebu angalia vitu anavyoandika!!!!

kila siku om nimekuwa niligombana na mama au dada zangu nikiwakuta wanawagombeza dada wa kazi mda mwingine uwa najifungia chumbani nalia mwenyewe

Huwa hutulii especially kwa upumbavu kama huu

house girls wanajua ku care pengine kuliko hata wamama wenye nyumba na ndio maana wanaume wengi hujihusisha na mapenzi na wadada hao

Hivi huyu mtoto wa kiume kuna kitu anajua kweli kuhusu ndoa? Experience kapata wapi wakati bado anaishi na wazazi? Kaunga huyu mtoto hamtukani mamaake kweli?? Amejuaje wamama wenye nyumba hawajali kama si kwa kumuona mama yake?
 
Mbona wa2 flani povu jingi?asikuambie kitu HG watamu sana achana na hawa wa .com
 
Mi nadhani unajidanganya! Hiyo ni status na nafasi yake kwa wakati huo yaani 'housegirl' ndio maana lazima aplay part yake kama kutunza nyumba,usafi ,macare n.k,ni kama mwalimu awapo shuleni au mfanyakazi yoyote awapo kazini yaani KUWAJIBIKA! so na housegirl ndo hivyohvyo isitoshe anapewa MSHAHARA na ukizingatia wengi wanatoka vjijini ambapo kulala ktk godoro ni kwa zamu KWANINI ASIWE MNYENYEKEVU anapofika katka godoro la peke yake? Sema we wapenda kuwagegda sababu wanaona watakosa kibarua otherwise MCHUKUE MFANYE MKEO ndo utajua tofauti ya MKE na HOUSEGIRL mana status yake itakuwa imechange to mama mwenye nyumba afu ucheki sasa kama hayo macare,malove ma unyenyekevu yataendelea kuwepo eee! Do that!
 
::
Munkari Mambo!
Miss U
=
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom