Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
hee! Best! Umepotelea wap jaman yan ckuoni kabsa kijiweni ,mis u 4! Haah!
Last edited by a moderator:
hee! Best! Umepotelea wap jaman yan ckuoni kabsa kijiweni ,mis u 4! Haah!
::
Mi nipo sana,,ila leo nimeona umemwaga ma busara hapa Loo! Chezea Munkari weye!
=
wenye mahausgeli kuweni macho
yani kwangu housegirl no! Kazi ntafanya mwenyewe !
sijawahi lamba HG , ila sijasema hawafai kulambwa..... nao ni wanawake kama wanawake wengine.
mimi nitaendelea kukomaa tu na hawa magumegume wa iphone 5 na magalaxy
Mi nadhani unajidanganya! Hiyo ni status na nafasi yake kwa wakati huo yaani 'housegirl' ndio maana lazima aplay part yake kama kutunza nyumba,usafi ,macare n.k,ni kama mwalimu awapo shuleni au mfanyakazi yoyote awapo kazini yaani KUWAJIBIKA! so na housegirl ndo hivyohvyo isitoshe anapewa MSHAHARA na ukizingatia wengi wanatoka vjijini ambapo kulala ktk godoro ni kwa zamu KWANINI ASIWE MNYENYEKEVU anapofika katka godoro la peke yake? Sema we wapenda kuwagegda sababu wanaona watakosa kibarua otherwise MCHUKUE MFANYE MKEO ndo utajua tofauti ya MKE na HOUSEGIRL mana status yake itakuwa imechange to mama mwenye nyumba afu ucheki sasa kama hayo macare,malove ma unyenyekevu yataendelea kuwepo eee! Do that!
yani kwangu housegirl no! Kazi ntafanya mwenyewe !
Kutokumpenda mtu / kukataa asiwe mwenza sababu tu ni house girl nadhani ni kumkosea haki..
Kumchezea mtu / kumuhadaa sababu tu ni inferior kwako kwa hali moja au nyingine ni kutokumtendea haki.., lakini kama lengo lako ni kumfanya mwenza hakuna shida and all the best, ila sio kwamba ukishampiga mimba unamfukuza wakati wewe ndio ulikuwa mwenye makosa
Ma sista duu wengi hawajui kitu kitandani,zaidi ya kujiremba na kujifanya wa hadhi ya juu kumbe chumbani hakuna kitu,ndo maana utakuta mwanaume ana pesa zake chafu na mke wake mzuri tu anamuacha mke wake anamfuata housegirl ambaye hata kuoga hawajui,ulishawahi kukiuliza kwa nini??,tabia ya mtu ni tabia tu huwezi kuibadilisha dada